Wana filamu kuandamana, kisa Kanumba ka-comediwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana filamu kuandamana, kisa Kanumba ka-comediwa!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Rugas, Sep 17, 2009.

 1. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Aisee,sanaaa ya bongo inaelekea wapi?
  Mbona ugonvvi mwingine kati ya wasanii hauna maan?

  Kama kawaida ya original comedy,wiki iliyopita walimuigiza kanumba akishindwa kuongea kimombo pale mjengoni south..yaani BBA revolution. Jana tukashuhudia wasanii kibao wa filamu nchini wakitaka kuandamana na wakijadili jinsi ya kuwaangamiza original comedy.... Hii ilikuwa kenye kipindi chabongo movies EATV jana usiku.

  Hivi kweli hii ni sahihi wasanii kujadili jinsi ya kuwaangamiza wasanii wenzao?

  Mtindo wa kuwaaigiza watu,original comedy hawajauanza leo wala jana.....wamewaigiza mawazili,wabunge,watu maarufu,mpaka Rais...

  Kumuigiza kanumba ndo imekuwa nongwa?

  Tunaliangalije hili bandugu....tuelekea pabaya.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,876
  Likes Received: 23,502
  Trophy Points: 280
  Wote wamefulia. Safari hii ze comedy wameingia choo cha kike! Wamewakomedi staa feki mwenzao!
   
 3. d

  dope bwoi Member

  #3
  Sep 17, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  hawa si wana filamu bali ni wasanii kama wenyewe jana walivyojiita yani pale ndo imedhihirisha kwamba hawa wasanii ni bogus mana uamuzi wao wa kwenda kufanya mkutano kisa kumtetea KANUMBA umedhihirisha kuwa ni wapumbavu. kanumba kachemka kweli kwani uongo? hawa jamaa ni wapumbavu wa mwisho kabisa.. eti RAY nae anashabikia kwakusema anaenda yeye? elimu yenyewe darasa la saba ukatutie aibu kule?

  KANUMBA ni mtu wa sifa na hakuna mtu ambaye hajui kuwa kanumba ni mpenda majivuno sasa alivyoenda BBA watu walikuwa wanasubiri wamwone KANUMBA THE GREAT lakni hayakuwa hayo badala yake tukaona kituko cha mwaka YANI KANUMBA NA WENZAKE WAMEONYESHA JINSI GANI ELIMU YAO NDOGO INAVYO WAPELEKESHA NA NDIO MANA WANAKOSA DIRA.

  KWANZA BONGO HAKUNA FILAMU HAYA NI MAIGIZO TU SIJAONA MUVI MIMI ILA NACHOONA NI KUKOPI MUZI ZA KINAIGERIA NA KULETA KWENYE MAIGIZO YETU LAKNI BONGO HAKUNA MUVI.. ETI KANUMBA AME ACT MUVI 45 NA 22 AME DIRECT NA NYINGINE ZINAKUJA.. jamani BRUCE LEE MPAKA ANAKUFA HATA MUVI KUMI HAKUFIKISHA,VAN DAMME MWENYEWE HAJAFIKISHA MUVI 20. SASA HII BONGO NIAJE TENA YANI KANUMBA NDANI YA MIAKA 3 MUVI 75?

  AFU TOLLYWOOD INA MAANA GANI KWA BONGO? MBONA TUNAIGA SANA? MBONA KENYA WAO HAWAJAITA KELLYWOOD? HIVI WANAJUA MAANA YAKE KWELI?
   
 4. S

  Swabiri Member

  #4
  Sep 17, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  dope bwoi
  Well said sina la kuongeza wala kupunguza. Inasikitisha sana hii inayoitwa movie industry
   
 5. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii yako ni kiboko, mwisho wa maneno. Hawa wanamaigizo wote vihiyo. Na huyu Kanumba hata mimi nilimuona live akichemsha wala sikusimuliwa sasa yeye anachokipinga ni kipi?? au ndo wanataka ze-komedi wawaigize wakipanga mikakati ya kuwakomoa???

  Nadhani inabidi ufike wakati ambapo hawa jamaa wakajifunza atleast kujua jinsi ya kuwasiliana, they seriously need to get communication skills training and then from there they get some training on PR.

  Kwenda kuwaste airtime ya TV kwa kupanga ujinga ni ujinga zaidi!!
   
  Last edited: Sep 17, 2009
 6. J

  Jafar JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2009
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hivi huyo Kanumba akienda huko Nigeria, USA au London anaenda na mkarimani? That was show case of the year. Hata M-Net clip za Kanumba ndani ya BB4 hawazirudiii kabisa maana ni aibu.
   
 7. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  hapo kazi ipo, wakuu hicho kipindi huwa kinarudiwa lini? , nataka nijirizishe kama ninavyoamini kuwa tz hakuna wasanii zaidi ya wawili
   
 8. K

  Kelelee Senior Member

  #8
  Sep 17, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo la percent kubwa sana ya wasanii wa bongo ni elimu ndogo na exposure hakuna!!!!hawapendi kujifunza!!!!!..it is my view kuwa they do not bother reading books, articles...browsing the internet to learn whats happening outside our borders etc....kazi yao kubwa ni kufuatilia upuuzi, kujidai once they think they have become famous, kuendekeza ngono zembe, pombe u name it!!!!! What the movie industry in Tz needs is people with brains who are ready to learn, be creative and come up with good movies.....not the "copy and paste" that is going on now.....kwa wale wote wanaoplan kuandamana eti kumtetea Kanumba i have a message for you.....GET A LIFE U MORONS!!!!!!
   
 9. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kanumba acha kupigana na ukuta bwana mdogo, nenda shule
   
 10. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  That is the only feasible solution to these guys here. Pale UDSM kuna course ya fine and performing arts. Waende pale wakaonane na wataalam wa masuala kama hayo. Sanaa/Usanii sio guess work na wala sio kipaji kama cha kubeba vyuma. Hata kubeba vyuma inabidi uende gymn ukanolewe na wataalam wa masuala hayo. Wasanii wa bongo acheni kushiba sifa za kijinga,nendeni shule tu! Inawezekana wengi wenu hawana qualification za kufanya bachelor degree basi kafanyeni hata certificate programmes kule Bagamoyo then ungeni taratibu mpaka mfike chuo kikuu ndipo mtakapokua na nguvu hata mkitaka kusema kitu mtajua msimamie theory gani maana mnachofanya sasa ni kupiga kelele tu bila subsatance. Your arguments are baseless!
   
 11. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  There will be blood. LOL

  Kusema kweli Movi bongo hakuna ni Maigizo. Wanaigiza kila kitu kutoka Nigeria.

  Halafu sanaa ya filamu bongo ni kwa wale ambao hawakwenda shule...That is the problem. Ikiwa umefeli darasani na huna cha kufanya unaenda ku ACT movie Bongo.
   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Hapo umenena..nguvu za kupambana na ukuta ange focus kujiendeleza kwenye mambo mengine ya maana miaka michache ijayo atakwenda BB kama presenter.
   
 13. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Haki ya Mungu, wajinga wakikutana werevu tulieni muangalie vituko. Hawa jamaa wote vichwa vya wendawazimu. Wameanza kukwaruzana wao kwa wao wanategemea kuna kazi tena hapo? Wanaiga tabia za wanasiasa za tibwilitibwili ndani ya vyama? Ningekuwa na uwezo ningewatafutia mshauri wa kuwashauri kichwa kwa kichwa na wala sio kwa kundi. Maana wanavyokutana na kukaa kwenye kundi ndio wanakuwa wajinga zaidi
   
 14. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...I like this!!!Big up mwana!!!
   
 15. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  huyo ray ndo kabisaa mgogo kwelikweli,yaani huyu jamaa ni mtupu mukichwa sijapata ona,na nashangaa yeye ndo anamtetea sana huyo kipofu mwenzie,naona hawa jamaa washajiona wamemaliza sana hapa duniani na hivyo vimuvi vyao uchwara ambavyo wanaiga mpaka upuuzi,kuna muvi moja ya hawa jamaa nimeona yaani hadi kinyaa,kanumba katika hiyo muvi anaigiza mpaka pozi za irene uwoya za kunyonganyonga midomo akiongea,yaani pozi za kidemu nazo anacopy.
   
 16. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  Kanumba jichimbie mwanawane ukate nondo utakuwa umefanya la maana.
   
 17. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hapo mkuu umeua sana. Sio wote vilaza ila wanaoonekana zaidi ndio hao vilaza. Media nayo inachangia, mtu ukiwa mjanja umesoma media nao huwa wanakwepa. Kama ujuavyo media nako ni kama wasanii elimu gongana
   
 18. Tshala

  Tshala JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 246
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wangapi wamekomediwa itakuwa yeye? Akasome,(akajiendeleze) full stop....asiangalie wanaomwonea huruma maana hawatamsaidia.
   
 19. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hawa waache kumtafuta mchawi na wote inabidi wajifunze lugha ili wasituletee aibu tena.
   
 20. I

  Inviolata Member

  #20
  Sep 17, 2009
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samahani mie nitapingana kidogo na wachangiaji hapo juu, Hvi ni Watanzania wangapi wanaweza kuongea sentensi 5 kwa kiingereza bila kuboronga?? Ni wachache ambao wamepata bahati ya kusoma shule za English Medium na wengine wengi ambao wazazi wao walikuwa na uwezo wa kuwapeleka ulaya wakasome. Sisi wengine tuliosoma shule zetu za kina Kanumba hatuwezi. Na hata ukienda kujiendeleza kusoma kiingereza kuflow inakuwa ni ngumu sana. Mie nafikiri badala ya kumcheka na kum-critisize labda tungetafuta namna ya kumshauri.

  Kama mnaangalia Big Brother kuna Mshiriki wa kiume kutoka Msumbiji anaitwa Lionel hajui kabisa Kiingereza na anachapia ile mbaya, Tujiulize kitu kimoja kwani Kiingereza ni lugha yetu??? Watu mmeifanya issue sana, Na wala sio suala la shule kwani ni wangapi wamesoma mpaka Chuo Kikuu na Degree zao lakini hawawezi ku-flow kiingereza? Sio tu wasanii wenzake hata sisi tupo wengine wengi ambao hatukupendezewa na namna watu walivyoli-handle suala la Kanumba akiwa BBA

  Tuache Kasumba ya kikoloni lugha yetu ni kiswahili na ndio 'Communication Language yetu Watanzania.
   
Loading...