hio safiHuwa nna idea ya kutengeneza sensor itayokaa katika taa za mbele za gari na kisha inakuwa connected kwenye geti ili mtu akifika getini hapigi honi Bali anapiga taa(mfano wa ishara za kuomba kupita madereva wanajua) then geti linafunguka anaingiza gari. Akisha ingiza gari anapiga tena kama taa za breki then geti linajifunga.
Do you think you can work on that idea?
Zipo njia nyingi za kufanya hiyo project yako, njia rahisi ni kutumia RF transmitter & receiver module, utahitaji microcontroler, relay na motorized gate system, ntaongelea part ya kwenye gari kufunga na kufungua geti. Transmitter itafungwa pamoja na head light switch, na itakuwa na switch yake nyingine ya ziada, kulingana na program yako, unaweza ku set, unapo flash head light labda mara 2, transmitter itatuma signal kwa receiver ambayo ipo kwenye gate kwamba imekuwa triggered mara 2, receiver itapeleka taarifa kwa microcontroller sasa hapo itafanya decision kulingana na ulivyo i program.Huwa nna idea ya kutengeneza sensor itayokaa katika taa za mbele za gari na kisha inakuwa connected kwenye geti ili mtu akifika getini hapigi honi Bali anapiga taa(mfano wa ishara za kuomba kupita madereva wanajua) then geti linafunguka anaingiza gari. Akisha ingiza gari anapiga tena kama taa za breki then geti linajifunga.
Do you think you can work on that idea?
Daaah kwa nini ninyi wataalam msiifanyie kazi??Zipo njia nyingi za kufanya hiyo project yako, njia rahisi ni kutumia RF transmitter & receiver module, utahitaji microcontroler, relay na motorized gate system, ntaongelea part ya kwenye gari kufunga na kufungua geti. Transmitter itafungwa pamoja na head light switch, na itakuwa na switch yake nyingine ya ziada, kulingana na program yako, unaweza ku set, unapo flash head light labda mara 2, transmitter itatuma signal kwa receiver ambayo ipo kwenye gate kwamba imekuwa triggered mara 2, receiver itapeleka taarifa kwa microcontroller sasa hapo itafanya decision kulingana na ulivyo i program.
Daaah kwa nini ninyi wataalam msiifanyie kazi??
Yaani mm ningekua mtaalamu ningeshaifanya. Huwa naona usumbufu na pia hatari iliyopo kwenye mageti especially usiku
ushawahi kufikiria kuibiwa? maana hio idea sijaona secuirty yoyote. mwizi atakuja na sensor kama yako kwenye gari lake anawasha taa geti linafungukaDaaah kwa nini ninyi wataalam msiifanyie kazi??
Yaani mm ningekua mtaalamu ningeshaifanya. Huwa naona usumbufu na pia hatari iliyopo kwenye mageti especially usiku
Yes chief na ndio hapo zinakuja zile hatua za kukilisha a system lazima utest kujua strength na weakness zake.ushawahi kufikiria kuibiwa? maana hio idea sijaona secuirty yoyote. mwizi atakuja na sensor kama yako kwenye gari lake anawasha taa geti linafunguka
Thanks. Ntamtafuta0714 362 379 mcheki huyo jamaa, anatengeneza system ya aina yoyote kutokana na unavyotaka
Kuhusu security kuna kitu kinaitwa rolling code ambapo transmitter itatuma unique codes kupitia same frequency na receiver itafungua geti tu pale itakapo fanya decoding na kuwa na hakika code zilizotumwa ndizo zilizosetiwa ama kuhifadhiwa, mfano mdogo tu remote za magari zote zinatumia RF remote, mfumo ambao huo huo ndio hutumika kufungulia mageti je umewahi kuona remote ya Nadia ikafungua Vitz?Yes chief na ndio hapo zinakuja zile hatua za kukilisha a system lazima utest kujua strength na weakness zake.
So ukijua Kuna mtu anaweza kutumia same sensor kama yako ma gate likafunguka.
Then unatafuta namna ya kuifanya hio sensor iwe kama finger print.
Yaani iwe moja tu in the whole world. Nahope inawezekana.
Hizo system tayari zipo sokoni, hata ukiingia kariakoo utazipata, kibongo bongo watu hutengeza just for fun, ila huwezi pata kitu bora kama wanavyotengeneza kiwandani kwasababu hata parts utakazotumia ni za bei rahisi, kwa mfano tu, hata resistors, capacitors, na electronics component nyingine nyingi zinazouzwa madukani ni rejects na quality za chini sana.Daaah kwa nini ninyi wataalam msiifanyie kazi??
Yaani mm ningekua mtaalamu ningeshaifanya. Huwa naona usumbufu na pia hatari iliyopo kwenye mageti especially usiku