Nimecheki video facebook jinsi wazungu washabiki wa Southampton wakiimba wimbo kum-praise mwana East Africa mwenzetu Victor Wanyama.
Inafurahisha kwakweli.
Ni mkenya mwenzenu, ila juzi kwenye CHAN qualifiers games niliona anaogoza wenzake kugomea goli.ni mkenya mwenzetu. mkenya! true nyang'au!
haibadili utaifa!Ni mkenya mwenzenu, ila juzi kwenye CHAN qualifiers games niliona anaogoza wenzake kugomea goli.
kkkWazungu hawanaga ukabila kwa hilo tu wataenda peponi,aisee