I am happy that you are alive and hitting the way forward. Stay blessed and committed to your life, I love you!
cousin, nashukuru kwa kunipa taarifa.... maana nimehisi kama nimechomwa na mshale wa moto moyoni CC: Arushaonengoja nimwite my cousin Lady doctor njoo ujionee mwenyewe bila kuambiwa :shocked::shocked::shocked: mm nafunga mdomo kwa :tape::tape::tape:
bebii sikuhizi mapenzi yamevamiwa mpaka ndugu wanatamaniana kuoana, nenda kule MMU ujionee au muulize shemejio ladyfurahia akuambie!
Cousin sijakusoma hapa
cousin umesahau uliniita kule mapenzini MMU nikamtibu yule kichaa anayetaka kumuoa dada yake
cousin umesahau uliniita kule mapenzini MMU nikamtibu yule kichaa anayetaka kumuoa dada yake
Dunia hii ni lukumbalukumba!!!
ohooo sasa nimekumbuka binamu
tatizo kichwa changu kina mambo mengi
sana :music::music:mara :cell::cell: mara :A S soccer:
yaani full mambo kibao
cousin naomba wiki hii usiingie siasa, maana tangu utoke kule naona hauko sawa