The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Ni faraja iliyoje kukuta uzi huu wa ladyfurahia na wadau waliochangia kwa kuguswa.inanikumbusha maana halisi ya kujiunga jf ni kujifunza.kuhabarishana..kujenga mahusiano.kusaidiana..kufanikisha biadhara ns malengo..kupeana ushauri.. nasaha..faraja na masuluhisho kwa ushirikiano
mbarikiwe nyote kwa mashirikiano haya
Aisee Mungu yu pamoja nawe wengine hatutaweza kukuona lakini dua zetu tunaokumbea mwenye enzi Mungu wa rehema atakupigania
Last edited by a moderator:
