Wana chiti chati Ntwara nnpo?

Wana chiti chati Ntwara nnpo?

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,111
Nnko hapa, kwenu.chamahani chijanjua hata mmoja, nataputa chamaki nnchanga, wapi ntapata?
 
Naomba ukirudi uniletee gas
mh! unanjua makonde wewe? ukichukua gechi nchale ukiigucha nchale... na ntu ka wewe manoah utachejea nchale kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
ah ah! Ungenisaidia hata 150 metrictone ungenisaidia, ebu fanya fanya maalifa kaka.

mh! unanjua makonde wewe? ukichukua gechi nchale ukiigucha nchale... na ntu ka wewe manoah utachejea nchale kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
mh! unanjua makonde wewe? ukichukua gechi nchale ukiigucha nchale... na ntu ka wewe manoah utachejea nchale kweli kweli

Lukachi uchije ukaleta puchjo kwa kina Nchomba Nchumari! Tutakuchahau.
 
Last edited by a moderator:
:welcome::welcome::welcome::welcome::welcome:
 
Waziri(Kigoda): Mtwara Oyeeeeeeee....Wananchi: Haitokiiiiiiiii.........Chezea Mutwara wewe!!
 
Nchale chiku ya pachaka...
Heri ya pachaka...
 
heri ya pasaka mkuu upo mitaa gani nikutafutie kampani?

Achana nae huyo, mie niko njiani sehemu hizi, naelekea njini tukutane makutano ya Airport
image.jpgimage.jpg​
 
Jamani nikuchangie ka nauli kidogo uje huku Ruangwa aseee...
 
Back
Top Bottom