platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,537
Ikifika Ijumaa wanabaki wachache kwenye forum...wote wanakimbilia gambe. Sibahatishi nawajua baadhi yao Asprin, Erickb52, Preta, Kongosho... tena huyu ndiye pampula kabisa anapiga mpaka nyagi.
Bishanga kaacha baada ya kusikia inapunguza heshima ya nyumba. Madame B sijawahi msikia kwenye vikao vya ulabu. Ila nina uhakika na Mphamvu huyu ni mlevi wa kupigiwa mfano anaweza kuweka rehani hata demu wake..Halafu akilewa anajifanya anajua sana kiswahili na kupiga misamiati ya kizamani!!