CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mshedede ndo nn Remmy?
mshedede = dushelele
Last edited by a moderator:
Mshedede ndo nn Remmy?
Duh kweli ndofu si mchezo.....Duuuu..... kumbe ndo wanayoyafanya?
Erickb52 ndo kajiachia hivi hadi.....yalah....uwiiiiii
Preta ndo mzuka umepanda mpaka.....tobaaaa
Ndio maana hatukuwaona jana, loo,
Huyu Erickb52 aliitisha kikao na wala hatukumwona sie tumeuza dagaa weeee.........atanikoma.
hahahaa wakati ndio sasa
hahaha mshededee njenjeNimechekaje? babu jamani, unatupandisha mori wengine hapa......hako kamshedede.
Ikifika Ijumaa wanabaki wachache kwenye forum...wote wanakimbilia gambe. Sibahatishi nawajua baadhi yao Asprin, Erickb52, Preta, Kongosho... tena huyu ndiye pampula kabisa anapiga mpaka nyagi.
Bishanga kaacha baada ya kusikia inapunguza heshima ya nyumba. Madame B sijawahi msikia kwenye vikao vya ulabu. Ila nina uhakika na Mphamvu huyu ni mlevi wa kupigiwa mfano anaweza kuweka rehani hata demu wake..Halafu akilewa anajifanya anajua sana kiswahili na kupiga misamiati ya kizamani!!
hahahaa wakati ndio sasa
Imenibidi kucheka....lol
Nilikuwa nazitandika kweli siunajua mambo ya weekend. .!
Nimerudi sasa..
Wapi platozoom na bibie charminglady
Wapi chapombe wenzangu Asprin Kaizer na Bishanga ?
Wapi chapombe wa kike ...jina kapuni
Halafu wewe mtoto.............hebu endelea kufafanua, i am JF founder usiogope
Wikend byee..japo shilingi inasumbua lakini muhimu ni furaha na amani ya moyo
HahahaNdovu tatu?!!!!! una masihara wewe.....serengeti moja unachanganya na kiroba!
Hahahaaaaa...muulize babumie bado mtoto.
mbona umenisahau mkuu,mie hadi jina nimejibatiza.Ikifika Ijumaa wanabaki wachache kwenye forum...wote wanakimbilia gambe. Sibahatishi nawajua baadhi yao Asprin, Erickb52, Preta, Kongosho... tena huyu ndiye pampula kabisa anapiga mpaka nyagi.
Bishanga kaacha baada ya kusikia inapunguza heshima ya nyumba. Madame B sijawahi msikia kwenye vikao vya ulabu. Ila nina uhakika na Mphamvu huyu ni mlevi wa kupigiwa mfano anaweza kuweka rehani hata demu wake..Halafu akilewa anajifanya anajua sana kiswahili na kupiga misamiati ya kizamani!!
Lazima tumrudishie Mungu sifa za uumbaji wake bana. Sasa tufanyeje wakati nao wanataka?
![]()
Nlikuwa kawaida tu mbona? Sema tu nlikuwa hodari wa kuwinda.
![]()
Natoka niko mwepesii na energy ya kutosha