Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Usiku mwema wapendwaaaa Excel Rich Pol 'Valentina' Heaven on Earth uran Judgment na woooteeeeeee mnaonifanya niilaveeee chit chat bila kumsahau rutash......lwa!!!!
hii tuhuma si kweli... kwanza ushaolewa we mtoto?
mi huyu hapa sasa mkuu.
unaweza ukarudia kuniambia tulimtuma nini?
manake ulivyomsahaulifu.. summarize nione!!!
kumtuma tumtume kwa siri halafu nije kusummarize hapa kila mtu aone siri zetu za ndani hapana aisee
If the answer is No..........
nini kitafatia hapo
Ahahhah ndio mm mwaya ila m mwenyew nshasahau nlivyotumwa
nimekusikia mamii! habari za jioni lakini?
kwema huko utokako? pole kwa mizunguko ya hapa na pale!!!
Ni njema tu Mungu anawezesha
Hongera kwa majukumu
ahsanteeee!! leta basi hicho kimzigo nikutue na wewe!!! unafichaficha nini sasa?
au ndo vifaa vimo humo?
pamoja sanaKwema.........nilikumis sana
Mambo yetu yale ndo yapo humu ndani
yani nilivyochoka nahitai sana msaada vingine tutaongea vizuri
kwani vipi jamani? mbona mwanitega namna hii?
ishakuwa alamba alamba teeeeena?
haya bana na princess enny wako...
mi nawakazia macho tu hapa dirishani!
Mi cmo Excel muulize Rich Woman ndio anajuaaaaaa..!!! m pia nipo mlangoni napga chabo
Mambo yetu yale ndo yapo humu ndani
yani nilivyochoka nahitai sana msaada vingine tutaongea vizuri
huyo ambae umesema bila kumsahu ni nani vile....................
halafumbona ye kawekewa vidoti doti