Wana chauma tumejipangaje kipindi cha kampeni

dealkubwa

Senior Member
Jul 1, 2020
144
584
Habar wakuu vipi wana chauma wenzangu huu ni uI maalumu wa kuweka na kupanga mikakati ya ushindi karibuni
IMG_2020-08-23_16-23-31.JPG
 
Chauma tuko vzr

Mkimaliza kupiga ubwabwa then kuna Karanga Special ziko kiwandani zikitengenezwa mzee hashimu atawagawia pia mkuu.

JamiiForums-1558939110_303x540.jpg
 
Yesu aliwaambia walikuwa wanamfuata si kwasababu walitaka kuwa wafuasi bali kwa kuwa aliwapa mikate na samaki wakashiba
 
Mzee wangu huyo rungwe,huyo ukikaa naye ana madini ya kufa ntu..halafu unaweza ukamdharau ana mawe kishenzi yan...lazima tupige ubwabwa halafu kampeni ndo zifuate sio kama wale jamaa wa kijani na chadomo wao maneno tuuu,wenyewe wameshakula,wanatuongopea ongopea sisi
 
Back
Top Bottom