Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,375
- 101,558
Mtu mpuuzi utaanza kumjua hata kwenye mwandiko tu!
Naona unaruka ruka tu, siku nyingine ukija huku ujipange vizuri, umehama kwa Mbowe ghafla umemrukia Magufuli, nikikubana na hapo unaweza kumrukia Mizengo Pinda.na Magufuli Kura za kubadili katiba aendelee kwa miaka kumi mingine atapigiwa na wengi ama wanajielewa au hawajielewi UTAJUA,..inshu si wengi..., UTAONA.. . TUONE..
ndio mtakeshaga na akili hizo hizo
Sababu ya kuibiwa kura inasisitizwa ili agenda ya Uongozi na mabadiliko kuimarisha upya chama yasizungumzwe wakati hali ni mbaya.
Uchaguzi umepita kuibiwa tayari tumeibiwa jee tung'ang'anie kuibiwa kura kuwa ni agenda ya kila siku mpaka 2025?
Tutafute njia ya kuimarisha chama hali ni mbaya na viongozi katika kanda nyingi au hawatoi huduma ya kuendeleza Chama ama kuzembea na kisingizio ni hali ya kipesa hoi chamani.
Chadema😃😃😃😃😃
Hivi nikiwa ndio walipanga waweke rehani madini ili Mabeberu wawape pesa ya kuendesha nchi ambapo walitaka
Tundu awe rais
Salum makamu wa rais
Mbowe waziri mkuu
Lema waziri wa mambo ya ndani
........
.........
Nabaki kujichekea tuuu
na Magufuli Kura za kubadili katiba aendelee kwa miaka kumi mingine atapigiwa na wengi ama wanajielewa au hawajielewi UTAJUA,..inshu si wengi..., UTAONA.. . TUONE..
Chama imara na chama chenye uongozi bora ni kile kinachokubali makosa na kuwajibika kwa kubadilikaMagufuli amesema aliamua kuachana na mradi wa gas maana gas yetu imeuzwa kwa wajanja, je cdm ndio waliiuza kwa hao wajanja? Hapa ndio utajua ww ni kiazi kwenye shamba la mihogo. Wenzio wanakuimbisha uzalendo uchwara huku akina JK waliouza hiyo gas wanajengewa mahekalu ya kumalizia uzee wao. Hii inaitwa utajua hujui.
Chama imara na chama chenye uongozi bora ni kile kinachokubali makosa na kuwajibika kwa kubadilika
Kuna siku nilikuuliza maswali hukujibu hata moja, lakini bado unaendelea kupiga kelele kama msukule, labda unijibu hili leo, hiyo hali mbaya ya chama imesababishwa na Mbowe? mazingira ya kisiasa since 2015 hapa Tanzania unayafahamu? hebu tutajie chama cha upinzani kingine chenye hali nzuri ukiondoa ACT waliojiunga SUK.Sababu ya kuibiwa kura inasisitizwa ili agenda ya Uongozi na mabadiliko kuimarisha upya chama yasizungumzwe wakati hali ni mbaya.
Uchaguzi umepita kuibiwa tayari tumeibiwa jee tung'ang'anie kuibiwa kura kuwa ni agenda ya kila siku mpaka 2025?
Tutafute njia ya kuimarisha chama hali ni mbaya na viongozi katika kanda nyingi au hawatoi huduma ya kuendeleza Chama ama kuzembea na kisingizio ni hali ya kipesa hoi chamani.
Ccm kunaTanzania hakuna upinzani
Vp umemuona leo kule Shinyanga?? Vp afya yake kwako unaona atatoboa 2025?? Siku zote ukishaona mtu anawasemehe aliowatuhumu basi ujue kuna jambo. Kaanza na wale Raia wa Ethiopia leo Wakurugenzi. Kesho keshokutwa??na Magufuli Kura za kubadili katiba aendelee kwa miaka kumi mingine atapigiwa na wengi ama wanajielewa au hawajielewi UTAJUA,..inshu si wengi..., UTAONA.. . TUONE..