Wana CCM wamtolea uvivu Dkt. Bashiru

SEMENI TUUU KWAMBA NYIE MAKANJANJA YA HAPO UFIPANI NDO MNAHANGAIKA BILA KULALA MKIDHANI CHAMA DUME CCM KITABABAIKAA. MNATUNGA PROPAGANDA WENYEWEE HALAFU MNAJIPOST WENYEWEE. MTAPATA TAABU SAAANAA.
Huu sasa ni uzuzu. Pwani haina mnec mwenye jina hilo au?
 
Kwa hiyo anatujurisha ndan ya CCM hakuna Demokrasia?!! Huku nje wataiweza?
 
Tunaposema kuwa Magu alikuwa dhalimu kuna watu walikuwa wanabisha. Aliyoyafanya Magu kwenye demokrasia ya nchi hii ni ushenzi wa hali ya juu. Watu wako kimya lakini yule mtu alikuwa ni shetani mkubwa.
Chama alikiweka mfukoni kwake
"Nitakavyo amka ndivyo nitakapo mpitisha mgombea" Hatareee kubwa ilikuwepo katiba ya ccm inasemaje?
 
CCM ni chama kikubwa!
 
Why Katibu tu not na Mwenyekiti? Maana lao lilikua moja. Amtaje na Mwenyekiti pia kuwa alikua part and parcel ya hayo madudu. Aache unafiki
 
Hayo yalifanywa nila mzee meko (apumzike mahali anapostahili) acheni kumsingizia Bashiru.
 
Hivi ni Bashiru aliyefanya hivyo au JPM?
Mabaya ya JPM huwa wanasema "kashauriwa vibaya na wasaidizi wake tu".

Yeye mwenyewe alikuwa hakosei.

Bashiru hata kama kakubali tu mabaya ya wengine bado ana makosa ya kukubali mabaya hayo.
 
MATAGA wewe ukiamka hufatilii habari toka vyanzo vingine ni JF tu? Hii habari mbona ipo kote hata Darmpya wameripoti kwa kumnukuu muhusika! Na huyo katangulizwa tu, wanakuja wengi sana sana kueleza UNYAMA wa JIWE, Polepole na Bashiru.
Msamehe kasoma kichwa cha habari tu akajibu.
 
Mwana fa
Kimei
Babu tale
Shigongo
 
CCM in a moribund stage? Let's wait to see.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…