Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
Kumbe mnaumia kiasi hiki hadi mnapeana faraja hadharani? Na bado huu ni mwanzo tu.
Hao wanaolipwa ni akina nani? Haya ni mafuriko tu msijipe moyo.
Binafsi nimejitolea kwa moyo wangu kuwasupport UKAWA na Lowassa.
Samahani mkuu, CCH ni chama kipya cha siasa? Nacho kitashiriki uchaguzi mkuu? Kinaongozwa na nani?CCH hatujawahi kuhuzunika unapokuja uchaguzi. Siku zote tunakuwa wenye furaha na ushindi ni lazima
Mimi nimetapika kabisa kusoma mada ya huyu mjinga,taifa linanuka umaskini kama kinyesi huyu bila aibu anasema ccm itashinda,naomba Mungu afanye muujiza ili oct 25 wana ccm wote wawe wanaumwa akiwemo mwenyekiti wao,nawaogapa sana hawa watu wametuletea umaskini wa kutisha sana.
Haina tofauti na kumkumbatia lowassa wa 4UM political party baada ya kuinunua chadema..bora turudi kwa magufuli tu..
Why on earth you refer on another humanbeing as ""fisi"" and "mizoga"?!! Unaanza anza jeee una wezaje kuwaita binaadamu wenzako fisi au mzoga?! Na kwa kufanya hivyo unategemea kukiuza chama au kukichafua?!!.. Huu upuuzi na upumbavu katika ubora wakee.. tooo lowKunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
CCH hatujawahi kuhuzunika unapokuja uchaguzi. Siku zote tunakuwa wenye furaha na ushindi ni lazima
mjiandae kwenda msituni.
Samahani mkuu, CCH ni chama kipya cha siasa? Nacho kitashiriki uchaguzi mkuu? Kinaongozwa na nani?
Hayo ndio mawazo ya ukombozi kamanda
CCM siwapendi maana wanaonea wanyonge, wamewafunga mashekhe wetu bila sababu!! Bado babu seya!tena mi ntawasaidia kupost thread 7 kwa siku yani mpaka jukwaa la mapenzi kule Nawepelekea wakinitukana basi ila tu mi niingize mshiko wangu per day
Kumbe mnaumia kiasi hiki hadi mnapeana faraja hadharani? Na bado huu ni mwanzo tu.
Hao wanaolipwa ni akina nani? Haya ni mafuriko tu msijipe moyo.
Binafsi nimejitolea kwa moyo wangu kuwasupport UKAWA na Lowassa.
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.[/QUOT
Waache wapost mkuu siku ya mwisho watakiona cha mtema nkwi ..wamesahau walivyojazana hapa wakati wa Dodoma lakini pamoja na hilo haikuzuia jamaa yao kukatwa ..sisi tupo kimya tushanoa kisu kumkata tena make haridhiki huyu, mara hii tutamkata nyeti zake
Hata Mimi na familia yangu pia haya majizi yanaofugwa CCM hapanakwa kweli, yamenishinda
Nyie si mnalipwa 7000 kila siku pale Lumumba ili muendelee kukisaidia chama chenu?😉
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
Unaipenda CCM wakati CCM ina wenyewe? Au na ww ni mmoja wa wenye CCM yao, vigogo wa serikali na familia zao:what: