Wana CCM tusidanganyike, furaha yaja!

Wana CCM tusidanganyike, furaha yaja!

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,267
Reaction score
14,275
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
 
Nataka kujua kama wewe ni mwanaume au mwanamke,?kijana au mzee? Kuna uwezekano ukawa na roho ya kimaskini sana imekutawala,hivi kabisaaaaaa umeridhika na hali ya kiuchumi uliyonayo kulinganisha na rasilimali zilizopo,ungekuwa karibu yangu ningewapa mbwa wangu wakutafune
 
Kama fisadi mmemteua kuwa mgombea Urais wenu hakika UKAWA yote inatawaliwa na mawazo ya kitaahira
 
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
Wewe mbona ni CHADEMA.. mkononi ccm moyoni Ukawa.. Haya bana
 
Hakuna siasa chafu kila linaloendelea tunaliona hasa kura za maoni yaani hao ndo wasaidizi wa Magufuli baadae . Mpumzike SASA
 
Hv ccm kusoma hamjui je picha hamuoni jmn ??watu wanachoma kadi,wanajiunga upinzani wanalamikia rushwa nyie mpo tu bado mnaipenda
Ndoooooorobo kwelikweli
 
CCM tunakisaidia chama chetu kwa vile tunakipenda. Si kama akina Mbowe wapo CHADEMA kutokana na maslahi binafsi.

Unaipenda CCM wakati CCM ina wenyewe? Au na ww ni mmoja wa wenye CCM yao, vigogo wa serikali na familia zao:what:
 
Back
Top Bottom