BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Utafiti wa viunga vya lumumba kizuri chajiuza kibaya chajitembezaUtafiti umefanyika Rais Magufuli atashinda kwa 98%
Utafiti wa viunga vya lumumba kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
Kizuri cha jiuzaNi Tanzania nzima inamkubali Rais Magufuli
kizuri cha jiuza
Una ubaridi wewe..nenda huko vijijini uone watu walivyo na uelewa wa mambo...Kakako anakubalika Chato zaidiNi Tanzania nzima inamkubali Rais Magufuli
Endelea kuamini hivo.hata jeshi litusaidie kama hatuna wajenga hoja itabaki ujinga tu.Utafiti umefanyika Rais Magufuli atashinda kwa 98%
Miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Magufuli atatufanya tuwe kama katari
Endelea kuamini hivo.hata jeshi litusaidie kama hatuna wajenga hoja itabaki ujinga tu.
Una ubaridi wewe..nenda huko vijijini uone watu walivyo na uelewa wa mambo...Kakako anakubalika Chato zaidi
Muone...! Iundwe tume huru Kama nyie wanaume kweli!Usikimbie Jamii forum tutakopokuwa tunakuletea matokeo
Uchaguzi wa Mwaka huu CDM Mnatamani kula zote mpige wenyewe.Kuna wana ccm wa ajabu sana yani wao ukiwauliza utasikia Rais wetu atashinda kwa kishindo,ukimuuliza umefanya utafiti?anaanza kukuambia Raisi kajenga reli,kaleta ndege,meli,mabara bara.Yaani unatamani hata umchape kofi.Naomba niwaambie wana ccm uchaguzi wa mwaka huu si lelemama.Kuna mambo wananchi wanayazungumza mpaka unashangaa.Kama tutategemea haya mandege ndo kampeni zetu tumekwisha.
Muone...! Iundwe tume huru Kama nyie wanaume kweli!
Utafiti umefanyika Rais Magufuli atashinda kwa 98%
Miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Magufuli atatufanya tuwe kama katari
Kama kuna watu wanaamini na kuaminishana kwamba jamaa alipokuwa anahutubia na kufunge bunge alikuwa anatoka data kichwani, unategemea taifa lina wananchi wa aina gani ?Kuna wana ccm wa ajabu sana yani wao ukiwauliza utasikia Rais wetu atashinda kwa kishindo,ukimuuliza umefanya utafiti?anaanza kukuambia Raisi kajenga reli,kaleta ndege,meli,mabara bara.Yaani unatamani hata umchape kofi.Naomba niwaambie wana ccm uchaguzi wa mwaka huu si lelemama.Kuna mambo wananchi wanayazungumza mpaka unashangaa.Kama tutategemea haya mandege ndo kampeni zetu tumekwisha.
Uchaguzi wa Mwaka huu CDM Mnatamani kula zote mpige wenyewe.
wacha weeee!
Kama anakubalika chato mbona alikuwa anawazima wagombea wenzake ?Una ubaridi wewe..nenda huko vijijini uone watu walivyo na uelewa wa mambo...Kakako anakubalika Chato zaidi