Wana CCM tuache kumdanganya Rais wetu,ushindi safari hii ni wa moto

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
392
383
Kuna wana ccm wa ajabu sana yani wao ukiwauliza utasikia Rais wetu atashinda kwa kishindo,ukimuuliza umefanya utafiti?anaanza kukuambia Raisi kajenga reli,kaleta ndege,meli,mabara bara.Yaani unatamani hata umchape kofi.

Naomba niwaambie wana ccm uchaguzi wa mwaka huu si lelemama.Kuna mambo wananchi wanayazungumza mpaka unashangaa.Kama tutategemea haya mandege ndo kampeni zetu tumekwisha.
 
Utafiti umefanyika Rais Magufuli atashinda kwa 98%

Miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Magufuli atatufanya tuwe kama katari
Endelea kuamini hivo.hata jeshi litusaidie kama hatuna wajenga hoja itabaki ujinga tu.
 
Kuna wana ccm wa ajabu sana yani wao ukiwauliza utasikia Rais wetu atashinda kwa kishindo,ukimuuliza umefanya utafiti?anaanza kukuambia Raisi kajenga reli,kaleta ndege,meli,mabara bara.Yaani unatamani hata umchape kofi.Naomba niwaambie wana ccm uchaguzi wa mwaka huu si lelemama.Kuna mambo wananchi wanayazungumza mpaka unashangaa.Kama tutategemea haya mandege ndo kampeni zetu tumekwisha.
Uchaguzi wa Mwaka huu CDM Mnatamani kula zote mpige wenyewe.
 
Kuna wana ccm wa ajabu sana yani wao ukiwauliza utasikia Rais wetu atashinda kwa kishindo,ukimuuliza umefanya utafiti?anaanza kukuambia Raisi kajenga reli,kaleta ndege,meli,mabara bara.Yaani unatamani hata umchape kofi.Naomba niwaambie wana ccm uchaguzi wa mwaka huu si lelemama.Kuna mambo wananchi wanayazungumza mpaka unashangaa.Kama tutategemea haya mandege ndo kampeni zetu tumekwisha.
Kama kuna watu wanaamini na kuaminishana kwamba jamaa alipokuwa anahutubia na kufunge bunge alikuwa anatoka data kichwani, unategemea taifa lina wananchi wa aina gani ?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom