Tunaambiwa kuwa ile ni moja ya ahadi ya JK mwaka 2010.
Lakini Serikali ya CCM ndio iliyopo madarakani hivyo ni wajibu wake kupitia Wizara husika kuhakikisha kivuko kinapatikana na siyo ahadi ya kipindi cha uchaguzi. Kwani wanataka kutuambia kuwa kama ingelikuwa uchaguzi upo mbali (zaidi ya miaka 4 mbele) Je wananchi wangeishi pasipo kuwa na kivuko????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.