Wana CCM mtusaidie sintofahamu hizi.

Friday Malafyale

JF-Expert Member
Jan 18, 2017
1,810
2,916
Kwa sasa habari zimetapaa sana vita ambayo ni ya madawa ya Kulevya n.k. ambayo imefunika matokeo ya kidato cha nne 2016-17. Nisiende mbali tuanze na Suala la Mwanachama mwenzenu ambaye anashiliwa na polisi mpaka sasa Yusuph Manji ambaye kalazwa hospitali. Maswali kama haya mtusaidie.

1. Toka zamani hamkujua na kampuni yao ya Quality Group inaajiri wafanyakazi wa kigeni??

2. Suala la kuwa na Share na TIGO TANZANIA ambazo inasemekana ni magumashi je miaka yote hamkugundua hayo iweje leo tuu, je CCM Wanafiki siku zote??

3. Issue ya madawa ya kulevya inaonesha wazi mmeshindwa mumkamatie wapi je Mnaona ni sahihi kubadilisha mlichokitaka au kuna chuki binafsi??

4. Mpaka mnampa kata agombee Udiwani mbagala kuu hamkujua anahusika na madawa na kuajiri wafanyakazi wasio na vibali nchini na mbona hamkumtia mbaroni??

5. magufuli alisema hakuchangiwa na mfanyabiashara lkn mbona Manji aliwachangia na hakusema lolote?? Je hamkujua kuwa anahusika ba madawa ya kulevya???? Je ni unafiki??

6. Je hili kwamba ni chuki ya Kisiasa kuna ukweli? Kwamba alimsupport Lowassa na ndio maana makufuli anakusudia kuifilisi Quality group ili wasitoe support je hayo ni ya kweli??

7. Na kama aliamua kustaafu u C.E.O wa Quality group je kwa nini mumuunganishe na kesi hyo ya wafanyakazi wa kigeni wasio na vibali??

Maswali ni machache tuu najua wengine watatiririka mengine. Kama kuna sintofahamu itafahamika magufuli kuna mkono wake kuhakikisha anamfilisi Manji na kampuni yao. Magufuli visasi havilipi unasisitiza watu wafanye kazi wakiachishwa kazi leo QUALITY GROUP si unatengeneza Wauza miili, vibaka, wavuta bangi n.k?? magufuli tunaelewa kila mshamba akija mjini anabadilika lkn faru wa chato bado hubadiliki, inabidi tuhoji haya. Karibuni



eb613556590dd38474298bdc4f234821.jpg
 
Back
Top Bottom