Mapondela
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 454
- 85
umemuona eeeMtoa post ,usijiite mwana ccm we ni mamuluki tu.jpili tutawaonyesha ubabe
umemuona eeeMtoa post ,usijiite mwana ccm we ni mamuluki tu.jpili tutawaonyesha ubabe
Huna point.pumba tupu. Rais Dr.magufuli anasubiri kuapishwa tu.
Kwa hiyo unataka tumwamini fisadi lowassa aliyekaa madarakani siyo ubunge tu amekuwa mpaka waziri mkuu kwa miaka zaidi ya thelathini kwenye serikali hiyo hiyo alifanya nini zaidi ya wizi na ufisadi wa Mali ya umma?
Hapa nilikuwa sijazaliwa...kumbukumbu zangu zinanieleza kuwa Lowassa amekuwa waziri mkuu kwa muda usiozidi miaka miwili.
Namaanisha madaraka ya ubunge , uwaziri wizara mbali mbali hadi uwaziri mkuu kwa kipindi kisichopungua miaka 30.nadhani umenielewa kijana wa bavicha.Hapa nilikuwa sijazaliwa...kumbukumbu zangu zinanieleza kuwa Lowassa amekuwa waziri mkuu kwa muda usiozidi miaka miwili.
Ni kweli hata mimi sijamsikia akikemea ufisadi bungeni,nikumbusheni malaika wetu wa Monduli siku alipokemea ufisadi.
Nijulisheni siku aliyohamia CDM na alivyofanya kazi kubwa kukiimarisha.Nikumbusheni siku Mh. sana ENL alipotamka bungeni anavyounga mkono serikali tatu na kuunga mkono mapendekezo ya timu ya Wario
Maneno mazito na yanaumiza yaani DIAMOND NA WEMA ni bora kuliko watanzania wengine nawaonea huruma sana akina mama wanaoishabikia CCM huku utu wao ukidhalilishwa wkt wa kujifungua.