Wana CCM hatumpigii kura Magufuli ng'ooo

maedson

Senior Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
151
Reaction score
86
Kwanza suala la ufisadi lilizingumzwa sana bungeni.. Alikuwa wapi?

Kama si kutaka kuficha hao hao wezi ni nini?

Ni kwanini CCM ilimpa nafasi Kikwete na sasa kumpa nafasi ya kugombea Magufuli.. Kuna lipi jipya ndani ya CCM?

Nini kitakacho mzuia Magufuli kuiba mali? Nyumba za serikali alifanyaje?

Kama kweli ni muadilifu.. Ni kwanini hakutamka chochote migogoro ya kula pesa za wananchi like Richmond..

Kazi tu! Maana yake nini? Wananchi wamekuwa wakifanya kazi enzi na enzi.. Hawalipwi, serikali haiwajali.. Nini leo tuambiwe kazi tuu!

Kashaharibu na tumemshtukia

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
Huna point.pumba tupu. Rais Dr.magufuli anasubiri kuapishwa tu.
 
Huyu nae sijui Leo kaamka na viroba kichwani Magufuli ndo rais wako kama vipi hamia Rwanda au kwa mseveni
 
Maswali yako ni magumu sana mtoa mada,nakuhakikishia (sio ya Magufuli) hakuna mwanaCCM atakayeweza kuyajibu zaidi utaambulia matusi.
Hongera,karibu kwa tunaojielewa.
Kura ni kwa Lowassa kwa maendeleo.
 
Huna point.pumba tupu. Rais Dr.magufuli anasubiri kuapishwa tu.

Siyo punba. Huyo anayejitapa kuwa mwanaCCM pekee anayeweza kukemea ufisadi hadharani amekuwa bungeni kama mbunge na waziri for almost 20 years na hajawahi kusikika akutamka neno "FISADI" achilia mbali kukemea vitendo vya kifisadi na mafisai miaka yote hiyo. Ameanza kufanya hivyo kwenye kampeni baada ya kukaririshwa kwamba Lowassa ni fisadi na Lowassa mwenyewe kukaa kimya muda wote. Magufuli amejua neno hili mwezi wa nane tu? Ina maana vitendo vya kifisadi vilivyifanyika miaka yote hiyo (ikiwemo Richmond inayopendwa sasa na CCM) hakuviona au aliona viko poa tu? Huyo ni kasuku tu na Watanzania wasitegmee lolote la maana toka kwake ikitokea akachaguliwa kuwa Rais ajaye.
 
Kwanza suala la ufisadi lilizingumzwa sana bungeni.. Alikuwa wapi?

Kama si kutaka kuficha hao hao wezi ni nini?

Ni kwanini ccm ilimpa nafasi kikwete na sasa kumpa nafasi ya kugombea magufuli.. Kuna lipi jipya ndani ya ccm?

Nini kitakacho mzuia magufuli kuiba mali? Nyumba za serikali alifanyaje?

Kama kweli ni muadilifu.. Ni kwanini hakutamka chochote migogoro ya kula pesa za wananchi like Richmond..

Kazi tu! Maana yake nini? Wananchi wamekuwa wakifanya kazi enzi na enzi.. Hawalipwi, serikali haiwajali.. Nini leo tuambiwe kazi tuu!

Kashaharibu na tumemshtukia

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums

Bora wewe umeshtuka mapema na umekua muwazi! Wapo wengi kama wewe CCM Hawataki kujionesha hadharani mahaba yao kwa LOWASSA! MAGUFULI hana mshirika ndani ya CCM! Ni kama Mgombea binafsi,anatia huruma ni bora amuunge mkono LOWASSA.
 
Kwanza suala la ufisadi lilizingumzwa sana bungeni.. Alikuwa wapi?

Kama si kutaka kuficha hao hao wezi ni nini?

Ni kwanini ccm ilimpa nafasi kikwete na sasa kumpa nafasi ya kugombea magufuli.. Kuna lipi jipya ndani ya ccm?

Nini kitakacho mzuia magufuli kuiba mali? Nyumba za serikali alifanyaje?

Kama kweli ni muadilifu.. Ni kwanini hakutamka chochote migogoro ya kula pesa za wananchi like Richmond..

Kazi tu! Maana yake nini? Wananchi wamekuwa wakifanya kazi enzi na enzi.. Hawalipwi, serikali haiwajali.. Nini leo tuambiwe kazi tuu!

Kashaharibu na tumemshtukia

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums

Umenena jambo ambalo nimekua nikiliuliza sana humu mkuu! NI KWANINI HAJAWAHI KUONESHA MSIMAMO WAKE JUU YA UFISADI BUNGENI? ALIMWOGOPA NANI? ANATAKA KUTUDANGANYA SASA SIO? MAGUFULI AKAE BENCHI TAFADHALI, HATUITAKI CCM KABISA.
 
Utaelewa tu ,hata kwa bakora..Toka lini mshabiki wa CCM akajitambua? 70% ya maisha yako unategemea wazazi kwa age yako ni aibu

Nafikiri anza kujitambua wewe mnywa viroba Fanya kazi sio utegemee kuajiriwa tu wewe ndo unaishi kwa shemeji unahubiri sijui mabadiliko gani mbona ukawa ni vilaza tu wengi hamtaki kazi za kujiajiri.
 
Kwanza suala la ufisadi lilizingumzwa sana bungeni.. Alikuwa wapi?

Kama si kutaka kuficha hao hao wezi ni nini?

Ni kwanini CCM ilimpa nafasi Kikwete na sasa kumpa nafasi ya kugombea Magufuli.. Kuna lipi jipya ndani ya CCM?

Nini kitakacho mzuia Magufuli kuiba mali? Nyumba za serikali alifanyaje?

Kama kweli ni muadilifu.. Ni kwanini hakutamka chochote migogoro ya kula pesa za wananchi like Richmond..

Kazi tu! Maana yake nini? Wananchi wamekuwa wakifanya kazi enzi na enzi.. Hawalipwi, serikali haiwajali.. Nini leo tuambiwe kazi tuu!

Kashaharibu na tumemshtukia

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums

Hongera kwa kujitambua. Najua wapo wengi wana CCM waliomkataa magufuli kama wewe.Mabadiliko hayazuiliki mwaka huu.
 
bado siku tatu para para tupige kura para para,nimeshamuomba mtu anishike nafasi mapema kabisa ili nikifika tu hapo na kinjio bado kina makali yake ni kazi moja tu,chinja CCM na kufuli lao,na kuweka master key hapo a.k.a Lowasa na kurudi nyuma kama hatua mia mbili na kuwasha moto mkubwa na kuanza kuchoma mahindi
 
yeriko nyerere katika ubora wake.jpg
 
hata mim ni mwanaCCM ila kura yangu simpi magufuri ati, inaenda kwa lowasa.
 
Kwanza suala la ufisadi lilizingumzwa sana bungeni.. Alikuwa wapi?

Kama si kutaka kuficha hao hao wezi ni nini?

Ni kwanini CCM ilimpa nafasi Kikwete na sasa kumpa nafasi ya kugombea Magufuli.. Kuna lipi jipya ndani ya CCM?

Nini kitakacho mzuia Magufuli kuiba mali? Nyumba za serikali alifanyaje?

Kama kweli ni muadilifu.. Ni kwanini hakutamka chochote migogoro ya kula pesa za wananchi like Richmond..

Kazi tu! Maana yake nini? Wananchi wamekuwa wakifanya kazi enzi na enzi.. Hawalipwi, serikali haiwajali.. Nini leo tuambiwe kazi tuu!

Kashaharibu na tumemshtukia

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
ok kama una hasira kiasi hicho unaweza kupigia kura jiwe. sisi tunawajibika kwa mstakabali wa nchi yetu na vizazi vyetu. tutampa kura mtu muadilifu na mchapa kazi john pombe magufuli. kwa kufanya hivyo tutakua na matumaini mema kuhusu nchi yetu.
 
Back
Top Bottom