Wana CCM hatumpigii kura Magufuli ng'ooo

Wana CCM hatumpigii kura Magufuli ng'ooo

anatatizo la kimaamuzi, Hili nitatizo kubwa sana kwa kiongozi wa nchi yenye utajiri kama hii.

Hajawahi kufanya maamuzi magumu wala makini yote ni hasara.

kama mwandosya, wasira japo walikuwa mawaziri escrow iliwauma, na misifa yote alishindwa hata kutoa miongozo kama kweli anachukia rushwa.

kura ya edo, kabla ya saa nne
 
Kwanza suala la ufisadi lilizingumzwa sana bungeni.. Alikuwa wapi?

Kama si kutaka kuficha hao hao wezi ni nini?

Ni kwanini CCM ilimpa nafasi Kikwete na sasa kumpa nafasi ya kugombea Magufuli.. Kuna lipi jipya ndani ya CCM?

Nini kitakacho mzuia Magufuli kuiba mali? Nyumba za serikali alifanyaje?

Kama kweli ni muadilifu.. Ni kwanini hakutamka chochote migogoro ya kula pesa za wananchi like Richmond..

Kazi tu! Maana yake nini? Wananchi wamekuwa wakifanya kazi enzi na enzi.. Hawalipwi, serikali haiwajali.. Nini leo tuambiwe kazi tuu!

Kashaharibu na tumemshtukia

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums

Labda kama angekuwa kange Ligora au Marehemu Deo wamekuwa wakikemea Ufisadi lakini sio Mtajwa hapo juu.
 
Du hata mimi nimeamua kura yangu iende kunakostahili.
 
Bora wewe umeshtuka mapema na umekua muwazi! Wapo wengi kama wewe CCM Hawataki kujionesha hadharani mahaba yao kwa LOWASSA! MAGUFULI hana mshirika ndani ya CCM! Ni kama Mgombea binafsi,anatia huruma ni bora amuunge mkono LOWASSA.

Mnajifariji??Ni Hivi Wewe Kama Mwanaccm Humpigii Kura Magufuli Ni Wewe,wengine Tutampigia.Kuwa Mwanaccm Au Mwanaukawa Sio Lazima Umpigie Mwanachama Mwenzio,na Ndomaana Unaweza Ukakuta Mbunge Na Madiwani Wake Ni Vyama Tofauti Kabisa..
 
Ukimuona mtu anapigia kura ccm akiugua akienda hospitali ya serikali na akasema hatibiwi mjibu hayo ndo matunda ya kura yako.
 
MWENZANGU NA WEWE NI MWANACHAMA WA CCM?

Taarifa zinasambaa, kwamba msanii nguli wa muziki wa bongo fleva, Diamond, amelipwa Tsh. 1.3 bilioni kwa ajili ya kufanya kampeni za CCM, Wema sepetu ambaye amewahi kuripotiwa kucheza filamu za ngono, amepewa Tsh. 600 milioni. Kuna wasanii karibu 30 wanaofanya kampeni za CCM huku wakilipwa na CCM. Mabilioni ya pesa yanatumika huko kwa ajili hiyo.

K/mkuu Kinana anaripotiwa kujichukulia karibu Tsh. 3 bilion kutoka mfuko wa kampeni kisha akatoa taarifa kwa JK kuwa pesa za kampeni zimeisha. Alipoulizwa zimeishaje akajibu, Diamond Bil. 1.3, Wema mil. 600, wamekifanyia nini Chama? Mimi nimezunguka nchi nzima kukinadi chama nimepata nini, sasa nimechukua na sirudishi. Hapo K/mkuu alikataa kuwa msumari, utaelewa baadae.

Sio hivyo tu, humo humo kwenye kampeni kuna wapigaji wanafanya kazi yao.

Ukisikia CCM wamekopa mabilioni ya pesa kutoka CWT, na kuuza hisa za TBL kwa bil. 80, ili zisaidie kampeni usidhani zote zinakwenda kwenye kampeni, nop, watu wanajiandalia maisha baada ya uchaguzi.

Kuna dalili bilioni 1.3 na ishara milioni 600 za CCM kukosa Urais, kwa hiyo lazima watu wajiandae kuishi ndani au nje ya Tanzania baada ya kutolewa kwenye utawala.

Sasa wewe mwenzangu na Mimi, unayetoka mishipa kushabikia CCM, wewe ni kada au mtoto wa kada gani maarufu? Wewe ni mwanafamilia wa kada gani anayelalia mabilioni ya Shilingi za walipakodi? Na wewe ni mpigaji? Au unajiandaa kuwa mpigaji? Una undugu nao?

Au unajipendekeza tu ili upate nafasi ya kupiga pesa baadae?
Baba ako analipwa ngapi? Mama ako analipwa ngapi? au anajichukulia ngapi? Kwako wewe gharama za maisha haziongezeki sio? Huduma mbovu za elimu haikuhusu eti ee?

Ukisikia wanyama wamepandishwa ndege kutengeneza vituo vya utalii huko ughaibuni wewe huna habari, unatafuta majibu au matusi kwa watu wanaopinga hayo mambo.

Unajiita CCM kwa fulana na elfu 10, huwezi kujitafutia hivyo vitu kisha Ukawa huru kupambana na wanyang'anyi?

Wana CCM wenzako wananufaika na meno ya tembo na biashara za dawa ya kulevya wewe ni mmoja wao?

Unashinda mitandaoni kupost picha za kampeni za magufuri wakati wenye CCM wanakula maisha, wanatuachia maiti za tembo, mateja mitaani na mashimo matupu migodini, wao wanakesha baa, wakitoka na maV8 yao haaoo kwenye mahoteli ya kifahari, wakitoka humo ni ughaibuni.
Na wewe unafanya hivyo?

Kama ndio basi 'big up', Ila kama unatukana tu, unahangaika kuitetea CCM kwa buku 10, basi angalia vizuri nembo ya CCM utaona kuna alama ya NYUNDO, na wewe umechagua kuwa MSUMARI, kazi ya nyundo ni kugonga misumari, kwa hiyo wewe unagongwa na CCM. Na Kamwe masumari haugeuki kuwa Nyundo.

Utaishia kugongwa tu na Mimi nasema ugongwe tu maana hamna namna nyingine.
 
Mkuu achilia mbali ufisadi! Hivi unajua kwanini sisi wana kanda yaziwa hatutaki hatakumuona? Amekuwa mbunge na waziri miaka yote hiyo, tumetapeliwa kwakuchimbwa dhahabu zetu nawawekezaji feki, tumenyanyaswa hata kufikia kula mapanki, minofu inapelekwa ulaya! Watoto wetu kwasasa kanda yaziwa inaongoza kwa utapiamlo!

Hatujawahi kumuona Magufuli anatusemea popote ndani yanchi hii. Hatumtaki natumehapa kumpinga iwe Duniani mpaka mbinguni. Nimnafiki tu huyu jamaa.

Kura zetu kwa Lowasa wanakanda yaziwa. Tunamkumbuka sana alivotupigania ktk mradi wamaji shinyanga. Huyu baba nimchapakazi sana. Hivyo vituhuma uchwara dhidi yake kutoka kwawanafiki wachache sisi wala kwetu havina nafasi.
 
Mtoa Mada Nikuulize Lini Lowassa Ulimsikia Akipinga Rushwa,escrow Nk.Bungeni??
Unamzungumzia Waziri Wa Ujenzi Kupinga Rushwa Wakati Lowassa Alikuwa Waziri Mkuu Na Hakuonyesha Chochote!?
 
kwani Pombe na Kikwete nani alikuwa na maneno mazuri? kwani kuna neno zuri zaidi ya maisha bora kwa kila mtanzania?
usiaribu kura yako chakua Chadema kuleta mabadiliko
 
Mkuu achilia mbali ufisadi! Hivi unajua kwanini sisi wana kanda yaziwa hatutaki hatakumuona? Amekuwa mbunge na waziri miaka yote hiyo, tumetapeliwa kwakuchimbwa dhahabu zetu nawawekezaji feki, tumenyanyaswa hata kufikia kula mapanki, minofu inapelekwa ulaya! Watoto wetu kwasasa kanda yaziwa inaongoza kwa utapiamlo!

Hatujawahi kumuona Magufuli anatusemea popote ndani yanchi hii. Hatumtaki natumehapa kumpinga iwe Duniani mpaka mbinguni. Nimnafiki tu huyu jamaa.

Kura zetu kwa Lowasa wanakanda yaziwa. Tunamkumbuka sana alivotupigania ktk mradi wamaji shinyanga. Huyu baba nimchapakazi sana. Hivyo vituhuma uchwara dhidi yake kutoka kwawanafiki wachache sisi wala kwetu havina nafasi.

Wewe Nikuulize Magufuli Alikuwa Mbunge Wako Katika Jimbo Lako Mpaka Umlalamikie Yeye?Huyo Lowassa Alishawahi Kukutetea?
 
Mimi Mwanaccm Na Wanaccm Wengine Tunaompenda Magufuli Na Tuliowakereketwa Wa Chama Chetu Na Wazalendo Wataifa Letu,tutampigia John P Magufuli..Because He Deserve To Be Our President....
 
Labda si kura za wananchi ndizo zinazomuingiza mtu ikulu kama ni mama yako anawaapisha basi anasubiri kuapishwa
 
Back
Top Bottom