Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Sina ubinadamu kwa watu wahuni kama wewe na wenzako wote wa aina yako hamuwezi kufanya mambo ya kihuni halafu tuwanyamazie kwani nyie mungu mdogo wenu.Nina kipindi kirefu sana sijaona unatoa maneno yenye uhai kwako na kwa members humu ndani, napata shida kuamini kama una ubinadamu yako. Very spoilt mind..
Mamburula bavicha mko wengi wewe ninkiongozi wao.rudi shule kwanza ujifunze kuandika. Ni Taifa na siyo taifa.
Kama kawa mkuu jf raha tupu hutaki unaacha.Duh bado tuu unazidi kutililika
Hivi wewe ni mbunge wa viti maalumu au wa kupitia makundi gani we mshenzi kweli.
Kama unataka nije kwako uwe tayari kuhudhulia hispitali miezi tisa na mateso mengine mengi kwa mda wote huo wa miezi tisa.Huna kazi, njoo nikufuge, uende kule nanga nikuchanganye na maksai wangu labda mtalingana akili, maana una akili ya ng'ombe kabisa
Kama kawa mkuu jf raha tupu hutaki unaacha.
Kama unataka nije kwako uwe tayari kuhudhulia hispitali miezi tisa na mateso mengine mengi kwa mda wote huo wa miezi tisa.
Ameyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama.
Amewataka wana CCM kuacha unyonge. Amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu.
Source: News, TBC1
Sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini.
Hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? Kwa kuua au?
mimba hiyo. tehe teh teh, siku moja tu anapigwa chini anavimba juu? mkuu kweli wewe noma.Kama unataka nije kwako uwe tayari kuhudhulia hispitali miezi tisa na mateso mengine mengi kwa mda wote huo wa miezi tisa.
Unaloga? hopeless guy
Kweli kuishabikia ccm, unahitaji akili ya maiti. Wao ndio wanatawala dola iko chini yao, hao polisi wanaotumia kukamqta au kuzuia wapinzani na mambo yao, kweli wameshindwa kuja hata na ushahidi mara moja na kuwatia hatiani hao watu,
Watu wanakula vya kupewa utawaona wanavyopigania mzee wao ili wasife njaa.
Huna kazi, njoo nikufuge, uende kule nanga nikuchanganye na maksai wangu labda mtalingana akili, maana una akili ya ng'ombe kabisa
jaman tukumbuke kauli ya wazil mkuu SASA TUMECHOKA TUWAPIGE TU jk naye wanaccm achen unyonge pambaneni
sas watanzania hatuna viongoz tujilinde wenyewe
mimba hiyo. siyo uchawi wewe.
Mamburula bavicha mko wengi wewe ninkiongozi wao.