eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
hiyo ni idadi ya wanaccm jimbo zima , sendeka jitoe kwenye uchaguzi ili kupunguza aibu .Jana wakati James ole milya akizindua kampeni zake huko simanjiro katika mkutano mkubwa kuwahi kushuhudiwa huku lema akiwa amealikwa wanachama wa ccm 3000 walitangaza kukihama chama hicho na kujiunga na chadema hili ni jimbo la ole sendeka mkoani manyara
ole milya aliadimika sana. karibu tena ulingoni
sendeka anarudi kuchunga Mbusi.