ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
asante sana ladyfurahia mwaliko wangu uko njiani
btn huyo mkaka anatafuta nini kwenye avatar yako!!!!!!!!!
Bibie ladyfurahia umeandaa nini katika sikuku hizi? ningependa kuwa mgeni wako siku mbili tatu hizi kama Mentor hatokumaindi!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
Bibie ladyfurahia umeandaa nini katika sikuku hizi? ningependa kuwa mgeni wako siku mbili tatu hizi kama Mentor hatokumaindi!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
Mhmm yan John ciena ndo shemeji eti Ladyfuraha mimi naomba unipigie simu!
ladyfurahia ntasavaivu tu si unajua mambo ya wanawake nimeach? Ni bishanga na The secretary yaani tunagandana ka luba.