Wana-cartoon na Madam Makinda

Aisee! Wamempatia huyo! Mimi nikajua ni yeye laivu, kumbe mtu kachora!
 
Jamani naombeni na mimi nisitafutwe na polisi kwa kumkashifu muheshimiwa naomba tu kuuliza "HIVI HUYU MAMA AMEOLEWA???"
 
Kwa hiyo mkuu yawezekana zile namba za simu zilizogawiwa kwa raia watu watakua washaanza kutupia maneno mawili matatu kutest "zali"??

atakayethubutu kutupia neno la namna iyo atakuwa ni devil himself, hakuna kwanadamu wa kawaida anayeweza thubutu tamani kitu ya design ile.
 
atakayethubutu kutupia neno la namna iyo atakuwa ni devil himself, hakuna kwanadamu wa kawaida anayeweza thubutu tamani kitu ya design ile.

Daudi Mchambuzi unajua kwamba wewe ukisema cha nini wenzako wanasema ni lini na kwa vipi nitakipata???. Lazima kuna mtu/watu some where wanaumiza vichwa vyao kuona ni vipi wanafanikiwa kupata sahihi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…