Wana busara kweli

ona hiyo picho
 

Attachments

  • Hatutambui.jpg
    Hatutambui.jpg
    17.9 KB · Views: 54
Baada ya uamuzi wa wabunge wa chadema kutoka nje ya bunge wakati raisi akihutubia .JE WALITUMIA BUSARA,tufamishe ulivyolipokea

Hawajavunja Katiba, Sheria, wala kanuni ya bunge. Hawajapiga mtu, wametoka kwa ustaarabu kuonyesha kwamba hawatambui matokeo ya urais, kwakuwa hapakuwa na njia nyingine ya kuonyesha dhamira yao hiyo, baada ya katiba kupinga matokeo ya rais kutopingwa mahakamani. Chambua mwenyewe kama ni Busara ama si Busara.
 
Back
Top Bottom