Wamwisho ku-comment ndiye mshindi

Wamwisho ku-comment ndiye mshindi

UZZIMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
414
Reaction score
483
Haya haya shindano jiipya na la aina yake. Shiriki kwa ku-coment maneno yoyote. Ukibahatika kuwa wa mwisho ku-comment utajikulia gari mpyaa, laptop 5, piki piki 2, pamoja na fedha taslimu shilingi milioni 4. Unaruhusiwa ku- comment zaidi ya mara moja.
 
Ni mimi hapa Valentina.
Nimekabidhiwa kila kitu.
 
Hizo zawadi ziko juu utafikiri zile za Escrow...
 
Haya haya shindano jiipya na la aina yake. Shiriki kwa ku-coment maneno yoyote. Ukibahatika kuwa wa mwisho ku-comment utajikulia gari mpyaa, laptop 5, piki piki 2, pamoja na fedha taslimu shilingi milioni 4. Unaruhusiwa ku- comment zaidi ya mara moja.

mimi wa ngapi kucomment??
 
Atakaye comment baada ya mimi ni mpumbavu sana.... tena hana akili hata moja.
 
Atakayefuata badala yangu nampa busha
 
Nyie wengine mnajisumbua tu,mimi ndie mshindi na zawad zipo bandarini zinakuja na ndege.
Tehe tehe tehe tehe tehe
 
Back
Top Bottom