Wamtaka Obama kugombea Urais Ufaransa

Wamtaka Obama kugombea Urais Ufaransa

Sizonje naye vipi hawajamuomba agombee kule!?

Nimeshtuka sana na kutikisa kichwa kwa wamarekani wale waliombeza Obama. Sasa France april kuna uchaguzi na wanamtaka kugombea uraisi nchini humo.

Live BBC Mahakama wanaombwa watoe kibali.
 
Sizonje naye vipi hawajamuomba agombee kule!?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 wamesema ana matatizo ya kia afya so hawezi ruka maili ndefu kwa anga
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Atapata kwa sababu ufaransa ni mmoja ya nchi zinazokumbatia uislamu na waarabu na kuchukua wayahudi na Israel.Obama nae yuko hivyohivyo!
 
Atapata kwa sababu ufaransa ni mmoja ya nchi zinazokumbatia uislamu na waarabu na kuchukua wayahudi na Israel.Obama nae yuko hivyohivyo!
aje tz kwa kwer hali tete mtaani
 
Lol! Atajijua mwenyewe labda ndiyo sababu hawajamuomba akagombee kule.
Nimesikiliza hotuba zake akiwa kula South, anachomekea sana siku hizi maneno ya malkia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kaambiwa aanze kuchomekea ili waone kama tuition ya ung'eng'e imeanza kulipa. I wish I KUDU BI IGP.

Nimesikiliza hotuba zake akiwa kula South, anachomekea sana siku hizi maneno ya malkia.
 
Back
Top Bottom