DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,131
Wananchi wa kata ya Mwanase mkoa wa Shinyanga wamemshukuru Mh Rais Samia kwa kuwapatia Baisketi katika kata hiyo kwa ngazi ya mabalozi huku wakimwahidi kura za kutosha kuelekea uchaguzi mkuu pia wamemwomba Mh Rais, Awaongezee baiskeli hizo, kwa viongozi wa chama kwa ngazi ya wenyeviti na makatibu wenezi wa matawi.