Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,384
Nijuzeni ni habari gani hiyo waliyoandika imeleta shida?
Serikali kupitia Idara ya Habari Maelezo yataka wamiliki wa gazeti la MwanaHALISI wajieleze kwa kukiuka maadili ya uandishi habari.