Wamiliki wa Gazeti la MwanaHalisi watakiwa kujieleza kwa kukiuka maadili ya uandishi wa habari

Akili za mjinga hazijifichi, ni kama pembe la ng'ombe

Iliwezekanaje Risasi inase kwenye Wallet ya Lissu wakat sote tunajua Wallet huwa kwny Mfuko wa Suruali wa Nyuma na ukikaa Maana yake umeikalia Wallet!
Mwanahalisi ni gazeti Dada na ya Shigongo 'Eti Risasi ilinasa kwny Wallet ' hahahah
 
Ilikuwa ni vema Dr. Hassan kutuambia kosa lao hasa ni nini? Wameandikaje kinyume na misingi ya Taaluma? Umetoa taarifa ya jumla mno!
 
Iliwezekanaje Risasi inase kwenye Wallet ya Lissu wakat sote tunajua Wallet huwa kwny Mfuko wa Suruali wa Nyuma na ukikaa Maana yake umeikalia Wallet!
Mwanahalisi ni gazeti Dada na ya Shigongo 'Eti Risasi ilinasa kwny Wallet ' hahahah
Sababu wewe umezoea kuweka wallet mfuko wa nyuma usidhani kila mmoja anaweka mfuko wa nyuma wenye kujua wanawea wengine kwenye mfuko wa koti, wengine mfuko wa mbele maana mfuko wa nyuma unapindisha uti wa mgongo na hivyo kuleta madhara baadaye

"Sitting on an overstuffed wallet may cause discomfort and back pain. If you’re going to be sitting for a prolonged period -- while driving, for example, take your wallet out of your back pocket."

Elimu ya bure hiyo kwa mnaokariri
 
Maajabu , hivi si mlisoma albadir ? Acheni watakufa itawamaliza wote. Wasipokufa aibu itarudi kwa aliyesoma albadir.
Waislamu wenyewe ngangari wameshindwa kuwasomea Waisrael na Wamarekani Albadir, leo ndio waweze kwa Viongozi wa watu? Huku wanadanganya tu hapo huwa wanaingiza tu wao juju.
Watu wanafahamu kuwa, ukijiapiza kumdhuru mtu kwa kumuua lakini ukawa haumaanishi kutokana moyoni, utashangaa atakuja mtu mwingine na kumuua halafu watu watadai fulani ndiye alimtishia kifo.
 
Hawa Mwanahalisi waliwahi kuandika Uongo kwa Miaka 7 kuwa Lowassa ni Fisadi wakaandika Lowassa kampa Zitto 200 Million ili aivuruge Chadema halaf Rais Dhaifu wa wakati huo akawa anawaachia tu

Wakaandika Ridhwaan anashirikiana na Lowassa na Rostam ili ampindue Baba yake kwny Urais

Leo wamekuja na uzushi Mwingine Habari ya Juu kabisa Eti Moja ya Risasi alizopigwa Lissu ilinasa kwny Wallet yake
Mbona hata hela ya kununua gazeti la Mwanahalisi huna! Au haya umeyasoma Uhuru?
 
IMG-20170918-WA0014.jpg
 
MwanaHALISI V MWANAHALISI. Mimi nalifahamu MwanaHALISI. Hilo la Dr. Hassan silijui kwa kweli.
 
Baadhi ya vichwa vya habari MwanaHalisi Jumatatu, Septemba 11-17, 2017
■ Tundu Lissu: Nawafahamu
■ Tuliwachagua viongozi, sasa tunaongozwa na 'vyombo'
■ MSETO lifunguliwe
■ Intelijensia iwaanike 'watu wasiojulikana'
■ Shambulizi dhidi ya Lissu linaakisi uimla
■ Mlimani City madudu matupu
■ Diane Rwigara: Binti anayetaka uraisi wa Paul Kagame
■ Malecela arudishiwe ujasili wake
■ Wajifunike kwa viganja lakini tunawaona
■ Ripoti za kamati za spika Ndugai kwa rais ni halali?
■ Kututesa na kutuua hakutakomesha udadisi
■Tundu Lissu amewakosea nini?
■ Wazanzibari wanampenda Lissu
■ Tukipuuza kilimo viwanda ni ndoto
■ Serikali isihadae wanyonge
 
Back
Top Bottom