Wamiliki wa Gazeti la MwanaHalisi watakiwa kujieleza kwa kukiuka maadili ya uandishi wa habari

Ilikuwa ni vema Dr. Hassan kutuambia kosa lao hasa ni nini? Wameandikaje kinyume na misingi ya Taaluma? Umetoa taarifa ya jumla mno!
Kosa lao ni kuandika kuwa risasi moja (ya SMG) ilikutwa ndani ya wallet ya Lissu imechanganyika na noti zake bila kuleta madhara kwenye noti zake wala mwili wake! Kitu ambacho hakiwezekani, muujiza. Watu wataelewa kuwa hiyo wallet ina hirizi za nguvu ya giza zenye uwezo hata wa kunasa hata risasi!! Halafu anayeandika habari hiyo ni professional journalist mwenye elimu iliyobobea aliyoipata hapa na pale!!
 
Leo wamekuja na uzushi Mwingine Habari ya Juu kabisa Eti Moja ya Risasi alizopigwa Lissu ilinasa kwny Wallet yake[/QUOTE]
Hivi mnawaza kupitia vin..y..e..oh?hao wameeleza vizuri waliiona vipi hiyo risas sasa kama mnaona ni uzushi,tuambie wewe unajua risasi zote nane alizotolewa mwilini zilimpiga sehemu zipi?????wauaji wakubwa.mmekosa hata staha kwenye mateso ya lisu.????????
 
Leo serikali kupitia kwa msemaji wake mkuu, mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO, itatangaza kulifungia gazeti la kila wiki la Mwanahalisi.

Habari za uhakika zilizopatikana jana usiku zinaeleza kuwa gazeti hilo liyafungwa kwa sababu zinazoelezwa na serikali - "kuendelea kuandika habari za uongo, uchonganishi na kashfa."

Mkutano wa kutangaza kulipa adhabu gazeti hilo utafanyika saa 4, ukumbi wa MAELEZO, Dar es Salaam.

Hata hivyo, kuna taarifa kuwa mmoja wa wakuu wa nchi amekasirishwa na moja ya makala iliyochapishwa na gazeti hilo, toleo la jana.

Mkubwa huyo alipiga simu kwa wakubwa wa MAELEZO akishangaa kwanini hadi jana jioni hajasikia gazeti hilo kufungwa ama kufugwa.

Tusubiri
 
Hivi hili gazeti ndio liliandika Ben Saanane anaonekana mtaani walipoulizwa source ya habari hio wakasema eti walikuta ujumbe chini ya mlango hapo ofisini kwao ukieleza ben kuonekana mtaani.
 
Hivi hili gazeti ndio liliandika Ben Saanane anaonekana mtaani walipoulizwa source ya habari hio wakasema eti walikuta ujumbe chini ya mlango hapo ofisini kwao ukieleza ben kuonekana mtaani.
Hili swali muulize kisu cha ngariba.
 
Hi nchi inataka habari za kusifiwa tu.....

Zikitokea habari za kuikosoa serikali, wenyewe wanaziita hizo hanbari ni za uchochezi!

Hilo neno la UCHOCHEZI limepata tafsiri mpya chini ya utwala huu wa awamu ya 5!!
 
Waache wasilifungie gazeti la Mwanahalisi!
Sasa wakilifungia tutapata wapi Taarifa za Ben Saa8 na hali hilo gazeti walisema wanajua alipo?!
Waliache
 
Leo serikali kupitia kwa msemaji wake mkuu, mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO, itatangaza kulifungia gazeti la kila wiki la Mwanahalisi.

Habari za uhakika zilizopatikana jana usiku zinaeleza kuwa gazeti hilo liyafungwa kwa sababu zinazoelezwa na serikali - "kuendelea kuandika habari za uongo, uchonganishi na kashfa."

Mkutano wa kutangaza kulipa adhabu gazeti hilo utafanyika saa 4, ukumbi wa MAELEZO, Dar es Salaam.

Hata hivyo, kuna taarifa kuwa mmoja wa wakuu wa nchi amekasirishwa na moja ya makala iliyochapishwa na gazeti hilo, toleo la jana.

Mkubwa huyo alipiga simu kwa wakubwa wa MAELEZO akishangaa kwanini hadi jana jioni hajasikia gazeti hilo kufungwa ama kufugwa.

Tusubiri

Siku zote ukitaka Mbwa wako asikung'ate jua tu muda wake wa kumpa Chakula chake.
 
Back
Top Bottom