Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 969
- 3,067
Sisi ambao Tunatafuta Ridhiki kupitia Biashara, Vidogo Vidogo.
Mara Nyingi kupandishiwa Kodi mara kwa Mara, Ukilipia Kodi ya mwaka, au miezi 6 Tegemea mda wowote kukutana Bonge la waraka wa kupandishiwa Kodi.
Wengine wanakupandishia Kodi Ili ushindwe uhame akiona unakomaa zaidi anazidi kupandisha Kila mara, ukifunga Biashara na Kuhama, mwenye Nyumba anafungua Biashara ambayo wewe ulikua unafanya ktk eneo hilo...
Daaa Wabongo Tabia Zetu jau sana
Wanaishia kuchemka ktk Biashara