KERO Wamiliki wa Baa na Lounge mjirekebishe kwenye huduma ya vyoo, mnajisahau sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Ze_Papirii

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
501
986
Habari wanajamvi,

Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hizi Baa na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidi.

Naona uwekezaji kwenye hii sekta umekuwa mkubwa sana kwa sasa lakini wamiliki wa haya maeneo wanapuuzia kufanya marekebisho au Usafi wa nguvu ktk haya maeneo hapa nazungumzia Vyoo.

Nimezunguka Bar na Lounge nyngi sana kwenye hii nchi(200+) lakini tatzo la uchafu na vyoo visivyoeleweka limekua Common kwny haya maeneo mengi niliyopita.

Wamiliki watilie mkazo na suala la Vyoo siyo kushindana tu kuweka wahudumu wazuri na wenye makalio makubwa na kusahau sehemu hii nyeti.

NAWASILISHA.
 
Kwani bar mnaenda kunywa gambe au kunya?
Urine pots zinatosha kwa walevi kufanya yao.
Au unaenda kukojoa kwenye shimo la choo?
Sitaki povu..
 
Habari wanajamvi,

Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hizi Baa na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidi.

Naona uwekezaji kwnye hii sekta umekua mkubwa sana kwa sasa lakini wamiliki wa haya maeneo wanapuuzia kufanya marekebisho au Usafi wa nguvu ktk haya maeneo hapa nazungumzia Vyoo.

Nimezunguka Bar na Lounge nyngi sana kwny hii nchi(200+) lakini tatzo la uchafu na vyoo visivyoeleweka limekua Common kwny haya maeneo mengi niliyopita.

Wamiliki watilie mkazo na suala la Vyoo siyo kushindana tu kuweka wahudumu wazuri na wenye makalio makubwa na kusahau sehemu hii nyeti.

NAWASILISHA.
Wanaboa sana kwakuwa wanatuona wanywaji hawatujali.Halafu kitu inaniudhi box la salama linakuwepo ila salama hukuna dah🙆
 
Kwani bar mnaenda kunywa gambe au kunya?
Urine pots zinatosha kwa walevi kufanya yao.
Au unaenda kukojoa kwenye shimo la choo?
Sitaki povu..
Bia nyingi za sasa hivi hazina viwango, haziivi utake usitake utatafuta maliwato tu.

Mpaka sasa kwenye huduma ya vyoo hakuna wanaowafikia Serena hotel.

Zile toilet zao kuna loster ya wafanya usafi kila dakika 30 lazima pafanyiwe usafi na usaini ile card na muda wote vyoo vyao vina harufu nzuri na unique air freshener.
 
Kumbe unajua hotels zote za hadhi ya juu vyoo vyake huwa safi muda wote.
Nakushauri acha kunywa pombe uswazi huko utapata UTI na fangasi kwenye vyoo vyao vinavyosafishwa mara moja kwa wiki.

Back
Top Bottom