komredi ngosha
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 382
- 71
Acheni kushabikia tuu wanafunzi wa chuo hiko wanakaa mbali na jiji na wanapenda sana kujirusha na masomo yanayotolewa pale mengi ya science na ni magumu sana sasa wakicheza kifuatacho sup so inakula kwao kwani elimu ya chuo sio mchezo vijana someni vyuoni huko acheni ushalobaro na ushalohero
Huwa ninasikia ni chuo kizuri cha IT and Engineering!!! Haya masomo pia ni magumu kama mwanafuzi si serious na masomo. Ila pia yawezekana yasemayo ni kweli au uongo. Weka evidence hapa mleta mada ili isiwe ni majungu. Hiyo ndiyo itakuwa ni pona yako maana wale ndugu zangu hawakosi kufyekenyua mambo ili mradi kupakana matope.
unayajua masomo magumu wewe?
Pale gpa za kupeana, mfano kuna mwaka wa 4 wameenda India, nasikia wote wamepewa gpa ya 5 eti kwa kua walikubali kwenda India na hivyo kulipia gharama za kuishi kule na kuiongezea chuo kipato
pia ni rahisi kumkuta mhitimu wa chuo hiki ana gpa ya 5 au first class kali sana lakini kichwani mweupe na hakuna anachojua
hvi nyie akili zenu fupi mnalazimishwa kusoma hapo!!! Thats Private insititute kama unaona hawatoi kinachotakiwa basi kamlilie kikwete aongeze vyuo vkuu au kafauli usome DIT,MIST,ATC, au COeT.
Hata chuo unachokiona wewe ni bora UD wapo wa kumwaga, hebu tuondolee u-pupu na GPA yako ya 2.1 hapa.., alaaah
Nilikuwa sijui, kumbe Private institutes wanasoma waliofeli tu.
yap, chuo kizuri cha IT hakina hata Internet kwa wanafunzi, hata website ya chuo haikuwepo wameweka mwaka huu june
wewe muulize anaesoma pale utapata majawabu
mfumo mbovu+ walimu vilaza = engineer mzuri? May be
unayajua masomo magumu wewe?
Pale gpa za kupeana, mfano kuna mwaka wa 4 wameenda India, nasikia wote wamepewa gpa ya 5 eti kwa kua walikubali kwenda India na hivyo kulipia gharama za kuishi kule na kuiongezea chuo kipato
pia ni rahisi kumkuta mhitimu wa chuo hiki ana gpa ya 5 au first class kali sana lakini kichwani mweupe na hakuna
anachojua