Wametufikisha Hapa Tanzania

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
293009_211043802355773_708002714_n.jpg
 
Duh, umenikumbusha mbali sana Mpwa, nilikua Kigoma Ziwa Tanganyika sehemu inaitwa karago yaani watoto hawaendi shule maisha ni magumu ajabu wale wazee wao ni kugonga gahawa tu
 
Nchi hii ina matatizo makubwa kuliko tunavyofikiria. Unfortunately, yanazidi kukua wakati m.k.were na genge lake wala hawajali. Shame on you kikwete and your cronies, may you all suffer the worst when the Almighty desires!
 
Wa hivyo hata Ulaya wapo. Kwa nini hujapiga picha za upande chanya, unakuwa interested kwa picha za upande hasi. Serikali ya JK, imefanya mengi. yapo mazuri, na vile vile yapo mabaya. hatutakuwa tunatenda haki kuhukumu kwa kuangalia upande mmoja. Kweli, wapo walio feli, ingawa pia wapo walio faulu. Ni kweli, waweza kuwa umeichoka serikali iliyopo madarakani, ila ihukumu kwa haki.
"MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, YANAWEZEKANA - ILA, KILA MTU ATIMIZE WAJIBU WAKE"
 
Hili jambo lipo mahakamani.. Halipaswi kuzungumziwa kufanya hivyo ni kuingilia uhuru wa mahakama
 
Jamani hayo ndiyo maisha bora kwa wote watanzania waliyoahidiwa na Jakaya Kikwete ambaye watani wake humuita Njaa Kaya Kiwete. Ni aibu sana kwa taifa lenye kuchimba dhahabu kwa tani ukiachia mbali raslimali nyingine nyingi kufikia hapa.
 
Kwa nini hujapiga picha za upande chanya, unakuwa interested kwa picha za upande hasi. "
Hata angeleta picha za upande chanya bado ungedai za upande hasi.
By the way hata wewe unaruhusiwa kupost hizo za upande chanya. kuwa huru.
 
Hata angeleta picha za upande chanya bado ungedai za upande hasi.
By the way hata wewe unaruhusiwa kupost hizo za upande chanya. kuwa huru.
Za upande chanya ziko nyingi saaaaaaaana hata nashindwa nipost ipi. kwa ujumla miaka 50, tumefanya mengi saaaaana
 
Za upande chanya ziko nyingi saaaaaaaana hata nashindwa nipost ipi. kwa ujumla miaka 50, tumefanya mengi saaaaana
Mkuu miaka 50 na mmefanya mengi imekujaje tena?
Mi nilifikiri tunaongelea picha tuu?
Mbona unatumia nguvu nyingi kujinadi?
 
Mkuu miaka 50 na mmefanya mengi imekujaje tena?
Mi nilifikiri tunaongelea picha tuu?
Mbona unatumia nguvu nyingi kujinadi?

Imetokana na uwepo wa mengi chanya. yapo mengi mazuri ambayo yamefanyika baada ya uhuru,(ndiyo miaka 50) ambayo hata tukipiga picha zake kukuonesha, nafasi haitatosha. hivyo madhaifu machache yasitumike hukumu mengi mazuri.
 
Za upande chanya ziko nyingi saaaaaaaana hata nashindwa nipost ipi. kwa ujumla miaka 50, tumefanya mengi saaaaana

Hakuna lolo manake maendeleo yaliopo hayaendani na miaka 50 ya uhuru pamoja na rasilimali tulizonazo mimi nafkiri ni bora tusingepata uhuru manake mkoloni mweupe angetujali kuliko huyu mkoloni mweusi ccm ambaye mpaka sasa anaendeleza baadhi maendeleo yaliyoachwa na mkolon mweupe
 
Hili jambo lipo mahakamani.. Halipaswi kuzungumziwa kufanya hivyo ni kuingilia uhuru wa mahakama

Hii kauli huwa inanichefua sana inakuwa ndio namna yao ya kukwepa kuwajibika na kujieleza mbele ya wananchi.
 
Wa hivyo hata Ulaya wapo. Kwa nini hujapiga picha za upande chanya, unakuwa interested kwa picha za upande hasi. Serikali ya JK, imefanya mengi. yapo mazuri, na vile vile yapo mabaya. hatutakuwa tunatenda haki kuhukumu kwa kuangalia upande mmoja. Kweli, wapo walio feli, ingawa pia wapo walio faulu. Ni kweli, waweza kuwa umeichoka serikali iliyopo madarakani, ila ihukumu kwa haki.
"MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, YANAWEZEKANA - ILA, KILA MTU ATIMIZE WAJIBU WAKE"

Nani atakaetimiza wajibu wake kama wezi unaambiwa ni akina fulani na evidence ipo unaishia kuwakumbatia, je ni mtanzania yupi leo atakaeonyesha uzalendo ktk madudu haya yanayofanywa na serikali waziwazi? Kwa kweli kama kafanya mazuri ni less than 15% the rest hakuna zaidi ya kuzindua miradi ya serikali tena ya msaada huku wakiwa wamevaa manguo yao ya kijani wakati ni issue ya serikali ambayo inajumuisha wasio magamba (ccd)
 
Hakuna lolo manake maendeleo yaliopo hayaendani na miaka 50 ya uhuru pamoja na rasilimali tulizonazo mimi nafkiri ni bora tusingepata uhuru manake mkoloni mweupe angetujali kuliko huyu mkoloni mweusi ccm ambaye mpaka sasa anaendeleza baadhi maendeleo yaliyoachwa na mkolon mweupe
Ni kweli, Ng'ombe hawezi kujua umuhimu wa mkia wake, mpaka utakapo katika. Like wise, huwezi kujua umuhimu wa uhuru, mpaka utakapo upoteza. Sisi tulio uona ukoloni, hatuwezi kutamani ukoloni. Ila kwa kuwa umezaliwa wakati wa uhuru, huna cha kufananisha. Kwetu ukoloni tunaujua, na uhuru tuna ujua.
"CHUKIA CHAMA, CHUKIA SERIKALI ILIYOKO MADARAKANI, ILA USITAMANI UKOLONI"
 
Za upande chanya ziko nyingi saaaaaaaana hata nashindwa nipost ipi. kwa ujumla miaka 50, tumefanya mengi saaaaana

Mengi si ndo kama hiyo picha inayoonyesha, we unadhani kuna jipya zaidi ya hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom