airGrid
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 973
- 784
Unajua mabadiliko huja kwa kufuata mkondo wa kawaida wa maisha ya mwanaadamu, kwa lugha nyingine huja ki-utani utani, hakuna kiongozi wala mtu yeyote Duniani anayeweza kuzuia MABADILIKO, Lowassa anakubalika si zaidi ya hapo, nikazi bure kutumia nguvu kubwa kukabiliana naye, tazama kukubalika kwake hakukuanzia Upinzani ila kulianzia Njano na Kijana kwenyewe, jina lake lilikatwa ki-utani utani, hawakujua nini madhara yake,
Sasa hawa wanaolipwa kuja kwenye vyombo vya habari wanapoteza muda kwani jina la Lowassa liko rohoni kwa watu c akilini, unaweza kupambana na AKILI za watu lakini kamwe huwezi kupambana na BUSARA za watu......mchezo unaofanyika ni wahatari kwa Njano na Kijani kwani umaarufu wa Lowassa unazidi kuongezeka kila kukicha, angali hotuba zake fupi lakini ni zenye mvuto mkubwa?...nini kiko ndani yake? ni nguvu ya nani?
Hakuna neno jipya la kumchafua Lowassa zaidi ya UFISADI tushalizoea tafuteni jingine kosa la kumkata sio mpango wenu ni mpango wa Mungu, kushindana na Lowassa nisawa na kushindana na Mteule wa mungu nijiwe kuu la pembe naye atayeshindana nalo litamwangusha chini nakumsaga TIKI TIKI.