Basi ndio mjue kuwa huwa wanawaingiza chaka.Hakuna mtawa mjinga anaweza toa somo kama hilo..
Jifunzeni alama za Kanisa mjue...
Halafu siyo Mass ya double s (Misa) ila Mas ya single s lenye maana ya kigiriki FestivalsMimi sio mfuasi wao. Walikuwa wanapita mashuleni kwenye joint mass. Si tukawa tunaenda kuangalia warembo
Ukristo hautaki siasa kali Osiepna [emoji12][emoji23][emoji1787]Pumbavu zako.....aliyekudanganya ni nani...? Umetolea wapi.
??
Kwanini unalazimisha iwe na maana yeyote ile...????Lakini hiyo ni abbr common na sio formal abbr. Hivyo inaweza kuwa na maana yoyote ila.Halafu hao wazungu ndio wamiliki wake so usijifanye wewe unajua zaidi yao.
Somo la namna hiyo na maswali kuhusu Xmas tumeshayatoa hapa JF sana...ila cha kushangaza mtu anarudia ujinga ule ule...Ukristo hautaki siasa kali Osiepna [emoji12][emoji23][emoji1787]
Sasa aliyeingizwa chaka ni nani..?Basi ndio mjue kuwa huwa wanawaingiza chaka.
Hivi wewe unaujua ukristo kuliko waliotunga na kukuletea?Sasa aliyeingizwa chaka ni nani..?
Kati yangu na wewe uliyekutana na mtawa pori...
X Festival si ndio inakuwa hivyo? Hii hufanyika casino sambamba na gambling.Halafu siyo Mass ya double s (Misa) ila Mas ya single s lenye maana ya kigiriki Festivals
Hivyo ni Christ festivals
Wamiliki ndio waliotunga na kuwaletea.Kwanini unalazimisha iwe na maana yeyote ile...????
Why common...? Unaposema wamiliki unamaanisha nini...?
Sasa aliyeingizwa chaka ni nani..?
Kati yangu na wewe uliyekutana na mtawa pori...
Haya mambo ni mapokeo, tusiparurane bure. Kikubwa tuamini uwepo mwenyezi Mungu basi. Mengine haya ni mapokeo.Hivi wewe unaujua ukristo kuliko waliotunga na kukuletea?
.....Nimekushangaa sana.Sio X Mass ni Christmas. Mass maana yake ni IBADA hivyo X MASS NI IBADA YA X.
Yaani kujifanya unayajua mapokeo kuliko aliyekuletea na ukayapokea.Haya mambo ni mapokeo, tusiparurane bure. Kikubwa tuamini uwepo mwenyezi Mungu basi. Mengine haya ni mapokeo.
Washangae wanaotuletea hizo Dogma ka za Deogratius Nalimi Kisandu......Nimekushangaa sana.
Yapi ni mapokeo...?? Maana hata biblia inayotuambia uwepo wa Mungu ni mapokeo pia..?Haya mambo ni mapokeo, tusiparurane bure. Kikubwa tuamini uwepo mwenyezi Mungu basi. Mengine haya ni mapokeo.
Waliotunga kitu gani...?Wamiliki ndio waliotunga na kuwaletea.
Kwani tunaongelea kitu gani?Waliotunga kitu gani...?
Inamaana kuzaliwa kwa Yesu kulitungwa...?Kwani tunaongelea kitu gani?
Yesu Kazaliwa.Inamaana kuzaliwa kwa Yesu kulitungwa...?