Wamenunuliwa

Wamenunuliwa

Mariswaga

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
201
Reaction score
2
1. Prof Lipumba alipojiuzulu - amenunuliwa
2. Dr. Slaa alipojiuzulu - amenunuliwa
3. Twaweza wametoa matokeo ya utafiti - wamenunuliwa

Hawa CCM wana pesa nyingi sana, maana kila kitu kinachowaumiza chadema inadaiwa wamenunua wao, hivi kwanini chadema hamkubali uhalisia wa mambo unapotokea?

Ni wazi hata matokeo ya uchaguzi mkuu yatakapotangazwa mtasema Jaji Lubuva amenunuliwa ndo maana ametangaza ushindi kwa Chama Cha Mapinduzi

UKISHINDWA KUBALI KUSHINDWA, KUNUNULIWA SIYO KISINGIZIO
 
Achana na hayo bwana tunajua hatutashinda. Hapa tunawasubiri viongozi wetu makamanda wa ukweli, Dr Slaa na Prof Lipumba kutupa mwelekeo sasa baada ya uchaguzi. Viva UKAWA ASILIA.viva Chadema asilia
 
mkuu achana hao wachumia tumbo,CCM wanajitekenya na kucheka wenyewe
 
1. Prof Lipumba alipojiuzulu - amenunuliwa
2. Dr. Slaa alipojiuzulu - amenunuliwa
3. Twaweza wametoa matokeo ya utafiti - wamenunuliwa

Hawa CCM wana pesa nyingi sana, maana kila kitu kinachowaumiza chadema inadaiwa wamenunua wao, hivi kwanini chadema hamkubali uhalisia wa mambo unapotokea?

Ni wazi hata matokeo ya uchaguzi mkuu yatakapotangazwa mtasema Jaji Lubuva amenunuliwa ndo maana ametangaza ushindi kwa Chama Cha Mapinduzi

UKISHINDWA KUBALI KUSHINDWA, KUNUNULIWA SIYO KISINGIZIO
Auntie Ezekiel aliporejea CCM alinunuliwa kwa dau la milioni 50. CCM wana hela za kuchezea. Huyu Eyakuze ni rafiki wa Januari Makamba anayesimamia kitengo cha kununua wasanii. Unganisha dots zako mwenyewe.
 
Uharisia gani uliyo uona ww Hao twaweza mbona issue yao imejulikana wazi ndugu yangu upo Dunia gani mulize January Makamba a.k.a JM au soma Mawio la week iliyopita utapata habari zote hata kabla hao Twaweza hawajatoa huo upuuzi wao ilishakua wazi. CCM wanahaha kujiokoa lakini kilichoandikwa na Mungu binadamu hawezi badilisha, mwaka huu ni mabadiliko hakuna no way out.
 
Auntie Ezekiel aliporejea CCM alinunuliwa kwa dau la milioni 50. CCM wana hela za kuchezea. Huyu Eyakuze ni rafiki wa Januari Makamba anayesimamia kitengo cha kununua wasanii. Unganisha dots zako mwenyewe.

Siamini kama hadi wewe umefika hadi huku,Lazima tukubali kuwa huko vijijini wananchi wengi hawana elimu ya uraia.Upinzani wamefocus huku mjini wanasahau vijijini ndio kuna wapiga kura wengi
 
Twaweza hawakuwa na haja ya kufanya utafiti maana issue iko wazi sana huitaji degree kujua Rais ajaye ni nani.... #hapa kazi tu.
 
Jamani,hivi kujua kuwa watanzania wameichoka CCM kunahitaji utafiti wa Twaweza ama REDET?..Hebu turudi kwenye matatizo ya kimsingi ya Watanzania ambayo CCM wanajaribu kututoa huko.Turudi kwenye ahadi za JMK na hizi ambazo JPM ameahidi tayari.Zinatekelezeka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom