Sawa. Nimezingatia. Kiza kinene. Kiza totoro. Vyote vinatuhusu.Hapana kaka baki hapa hapa tushikane mikono
Team bashinteHalafu ona username yake
Cc:Kasinde![emoji1][emoji1][emoji1]
The only thing we have to fear is fear itself.Anaejua procedures za kufunga jf account, anisaidie!
Ktk dubwana linawatia hasira ni hili Jf sema hawana cha kufanya
Ushauri wako mzuri nashukuru.Nina ndg yangu huko nyumbani huwa anatumia hii account yangu ngoja nimzuieMkuu Kuwa Makini Kutoa au Kuchukua Namba Namba za Watu Humu.
Kuna Watu Wanakupa Namba Zao Upige Humu Kuwa Makini Sana Watakupoteza.
Kuna Aliye Ni-PM "Nimependa Michango Yako Nipe Namba Yako Nikuweke Kwenye Whatsapp Group Yetu"" 😵😵
Mke Wangu Hajui ID Yangu Ndiyo Nijiuze Kirahisi Hivyo Kwa Mtu wa Pembeni? Hivyo ni Vitu Personal Sana
Hivyo Kuweni Makini Sana
Mkuu Kuwa Makini Kutoa au Kuchukua Namba Namba za Watu Humu.
Kuna Watu Wanakupa Namba Zao Upige Humu Kuwa Makini Sana Watakupoteza.
Kuna Aliye Ni-PM "Nimependa Michango Yako Nipe Namba Yako Nikuweke Kwenye Whatsapp Group Yetu"" 😵😵
Mke Wangu Hajui ID Yangu Ndiyo Nijiuze Kirahisi Hivyo Kwa Mtu wa Pembeni? Hivyo ni Vitu Personal Sana
Hivyo Kuweni Makini Sana
Ushauri wako mzuri nashukuru.Nina ndg yangu huko nyumbani huwa anatumia hii account yangu ngoja nimzuie
Wakuu ni hatari sana kwa sasa kujadili haya maswala ya siasa za kwa ujumla nadhani hata MMU sio sehemu salama kabisa siku si nyingi Malaika atazima MitandaoLissu bhana ni genius yametimia
Then, Taxation is theft [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji779] [emoji779] [emoji779]Kuna msukuma 1 alipita anajtapa tapa serekali yote ya tanzania ipo mfukon mwang mshenz sana wewe serkali yote ya tanzania ana mfuko mpana kiasi gan nikjua anaonea watu lakn hata hivyo kumpata ni kazi nikamtia ndan nikati wemtuku kwann unaonea watu wakaja ooohh [HASHTAG]#mill8[/HASHTAG] mwachie nikasema simwachiii hana adabu
Kuna msukuma 1 alipita anajtapa tapa serekali yote ya tanzania ipo mfukon mwang mshenz sana wewe serkali yote ya tanzania ana mfuko mpana kiasi gan nikjua anaonea watu lakn hata hivyo kumpata ni kazi nikamtia ndan nikati wemtuku kwann unaonea watu wakaja ooohh [HASHTAG]#mill8[/HASHTAG] mwachie nikasema simwachiii hana adabu