Wamenogewa?

Wamenogewa?

Tekeni watu ili kubadirisha upepo wa mdororo wa uchumi uliokuwa umeshaanza kuvuma. But at the end of the day huwezi kufika unako kwenda kwa kukimbizana na kila anae kupigia miluzi. Watch Out our National Economy is Sick and Dying. They have Failed the Country!!
 
Sauti yako JF ni ukombozi kwa millioni ya Watanzania. Usikatae tamaaThere is light at the end of the tunnel Tusife Moyo!
light-at-the-end-of-the-tunnel.jpg
 
Heri kuishi Damascus au Mosul ujue moja hizi tabia zinaota miziz I kila siku,tunajisahau kuwa hii dunia tunapita
 
Haki huinua Taifa. Ila hili linaleta laana Nchi hii. Viongozi wa dini ni watu wakubwa sana wao ndio wenye sauti ya juu kabisa.Lakini hawasemi wala kuomba juu ya haya mambo.
 
Haki huinua Taifa. Ila hili linaleta laana Nchi hii. Viongozi wa dini ni watu wakubwa sana wao ndio wenye sauti ya juu kabisa.Lakini hawasemi wala kuomba juu ya haya mambo.
Wana makengeza hao
 
75abb9f2d7a65815d5becda6d6e622c1.jpg
Inasemekana nyama ya mtu ni tamu sana, kuzidi hata kitimoto na ukishaonja ikakuzoea huwezi acha
Kuna kamtindo kanaelekea kushika kasi ya ajabu... KUTEKA WATU
tunazunguka mbuyu kwakuwa tayari tumeshachomwa ganzi ya woga lakini nao wameanza kunogewa wanafanya bila tahadhari huku wakiacha nyayo nyuma
Kupotea kwa Ben was perfectly done...but not a hundred percent correct... Waliacha clue moja muhimu sana msg ya onyo ile ya kubaki pekeyake na chatu
Wanaopotea kwa njia mbalimbali ni wengi sana ni kwavile tu hatutunzi rekodi na ni kwa vile wengi sio public figure
Ney wa mitego timing ilikataa wakanyoosha mikono juu haraka sana.....
Wamerudi tena wiki hii ikiwa ni zamu ya Roma mkatoliki, huyu kama Ney ni mwanamuziki... Wameondoka naye kwa mbinu za kizamani mno...
Kuna siku lakini watakwaa kisiki.... ZA MKWEZI MBILI.....!!!!!!!!!
Wakati naandika haya najiuliza WHO IS THE NEXT?
pengine orodha iko tayari... Dont be very sure.. You may be their next target.....
TUOMBEANE
a13ef5c9f4b952877482d8e29672d8fa.jpg
mshana jr nmesoma thread yako lakn naona inaniacha njia panda mno.
Inaonesha kuna jambo zito sana ila hujaweka wazi ...
 
mshana jr nmesoma thread yako lakn naona inaniacha njia panda mno.
Inaonesha kuna jambo zito sana ila hujaweka wazi ...
Unamkumbuka Patrick Karegeya wa Rwanda? Unajua kilichompata? Mwisho wake ulikuwa huu
karegeyaP.jpg
 
what goes around comes around..
kwa sasa mpini wameshikawao bt kama ulivyo sema kuu, nanukuu ''ZA MKWEZI MBILI.....!''
kwa yeyote aliye fanya hv haitokua bure [HASHTAG]#watanzaniatuamke[/HASHTAG] tuungane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom