Wamemdaka, simu zake wanazo!

Hivi jambo limearibika au zipo dalili za kuaribika kwa nini usilaze mshale mbele mapema some time Tunataifa hujifanya smart
Sasa, najiuliza - kwa kosa gani?

Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa?

Itazaa matunda? Matunda gani hasa?

Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?
Sasa, najiuliza - kwa kosa gani?

Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa?

Itazaa matunda? Matunda gani hasa?

Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?
Jasusi la Mbinguni ndo kiboko ya maccm wenzake ile ni taasisi inayotembea
 
Hivi mnawajua watu hao...mtakuja kujua mkishaingizwa king.Wait and see... aisee.TUNACHEZEWA MAZINGAOMBWE KWA TAARIFA YENU.
 
Sasa, najiuliza - kwa kosa gani?

Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa?

Itazaa matunda? Matunda gani hasa?

Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?
Ndio maana unaambiwa ukitaka kumwangamiza mtu mnya'anye mawasiliano kwanza
 
Sasa, najiuliza - kwa kosa gani?

Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa?

Itazaa matunda? Matunda gani hasa?

Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?
Wanajaribu kutengeneza kesi; kesi kubwa zaidi kuliko kesi feki ya Lissu. Wanataka kujua alikuwa anawasiliana na nani, wanawasiliana nini, na katika mawasiliano hayo kulikuwa na jambo lolote ambalo liliweka maisha ya Rais hatarini. Wanajua kilichotokea kwa JPM kwani baada ya kosakosa ya lile lililotokea Kusini, JPM hakumuona chawa aliyekuwa nguoni. Hili kosa hawa wahakutaka kulifanya.
 

Hii ni whitch hunting, kwamba mtu wa akwaida tu hawezi kukosoa utawala mpaka awe na watu nyuma yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…