Wamemdaka, simu zake wanazo!

kwani wanahisi hakulijua hili? maana na yeye alikuepo kwenye system mda mrefu kwahiyo anaelewa vizuri vitu wanavyo wafanyia wenzao endapo wakitaka kuwaziba mdomo,,

inshort watajuana wao kwa kwao sisi havituhusu ila pole kwa familia yake
 
Sasa, najiuliza - kwa kosa gani?

Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa?

Itazaa matunda? Matunda gani hasa?

Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?

Hilo kundi lipo kweli? Na lina huo ubavu? Au ndio yale ya kuambiana tuko pamoja na wewe..shoda ikitokea unasimama peke yako.

Interesting kwa Taifa letu, wana mtandao wanapambana wenyewe kwa wenyewe..mtandao sasa rasmi, kwishnei
 
Hapo kwenye ccm weka tiss..acha kujizima data
 
Yaani ikisharia kengere,
We kimbia mbere kwa mbere,
Shughuli kaisimamia Mkwere,
Yaani kashiria kabisa gobore.
Gobore tumpore,
nyegere mwendo wa pore,
kichaa chechere,
anatoa na kuweka bure,
ukipinga nong'ona chumbani isisikike kwenye sebure,
utatumbuliwa bure,
upewe kesi ya uhahini na kisebure.
ehauri lako mpole mpore achecheta achecheteee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…