Afande Nyati JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,385 Reaction score 1,414 Dec 20, 2014 #21 Hapo shingo inakuwa inacheza km bata.
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Dec 20, 2014 #22 Ikija mbua apo si itakua kuulizana tu
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Dec 20, 2014 #23 Masuke said: Ngoma 1993 hiyo, karatasi za rangi. Click to expand... Basi ngoma waliirudia maana sisi tuliigonga 1991 hadi magazeti yakaandika kesho yake wimbo wa Marijani watoka kwenye mtihani wa Taifa
Masuke said: Ngoma 1993 hiyo, karatasi za rangi. Click to expand... Basi ngoma waliirudia maana sisi tuliigonga 1991 hadi magazeti yakaandika kesho yake wimbo wa Marijani watoka kwenye mtihani wa Taifa
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Dec 20, 2014 #24 Wasimamizi hawakutaka mchezo hata kidogo
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Dec 20, 2014 #25 Ngalikihinja said: Hiyo tisa... kumi tulipangwa darasa moja wanafunzi wa mwaka wa mwanza Civil... wa pili Electrical na wa tatu mechanical... yaani anaanza wa electrical anayefuata wa civil halafu anamalizia wa mechanical na seko inajirudia.... Click to expand... Hamna chabo kabisa hapo....
Ngalikihinja said: Hiyo tisa... kumi tulipangwa darasa moja wanafunzi wa mwaka wa mwanza Civil... wa pili Electrical na wa tatu mechanical... yaani anaanza wa electrical anayefuata wa civil halafu anamalizia wa mechanical na seko inajirudia.... Click to expand... Hamna chabo kabisa hapo....