Wameishi miaka saba bila kufunga ndoa na wanataka kuachana.

Si kweli hao ni mtu na mzazi mwenzie sio wanandoa.Taratibu ziko tofauti
Section 161 of LMA inaongelea kuhusu presumption of marriage..."dhan kama mmefunga ndoa". Ikifanikiwa kuthibitishwa kama basi inachukuliwa kama mlifunga ndoa na taratibu zote za kuachana zinafuatwa kama ilivyo kwa wanandoa. Sheria inaangalia uwepo wa viashiria vifuatavyo
1) Mmeishi pamoja kwa miaka miwili au zaid
2) Majirani wanawatbua kama ni mume na mke
3)hamkua na formal marriage/ harusi/ shangwe za harusi

Ikithibitika hio my friend, taratibu zote za talaka zitafuatwa kama kwa watu waliofunga ndoa.
 
Ndoa sio assumption is a real thing ipeleke mahakamani ndoa ya assumption uone muziki wake.
 
Nachukia sana mtu muongo haswa anaehitaji msaada kwa kusema ni mtu mwingine ndiye anahitaji....utasikia rafik yangu anaumwa gonjwa anahitaj msaada,rafiki/ndgu yangu ameeachika anaomba ushaur wa kisheria
Kumbe Ni yeye[emoji1]
 
Pole yao,Shetani kashawaingilia kuwavuruga.
 
Tanzania LMA ni ya mwaka 1971 na specific section ni section 161.
 
kwa mwanaume house girl waweza ishi naye ndani miaka miwili au zaidi majirani waka assume ni mke kimbembe mahakamani hao majirani kuthibitisha kuwa huyo house girl ni mke na kama kila siku walikuwa wakiwachumgulia ndani mfululizo kwa miaka miwili yaani siku 720 kila siku wao ni kuwachungulia huko ndani non stop
 
Ndoa sio assumption is a real thing ipeleke mahakamani ndoa ya assumption uone muziki wake.
Sijasema assumption..nimesema presumption of marriage.. is all about proof kaka...alafu usipende kukariri tumieni vifungu vilivyowekwa kisheria kupata haki zenu.....
 
Waachane kwani walioana
 


😍😍😍😍💃💃💃
 
Mkikaa pamoja kwa miaka miwili na majirani wakawa wanawatambua nyie ni mke na mume basi ni ndoa tayari.
 
Hehehe mbona range
 
Mkikaa pamoja kwa miaka miwili na majirani wakawa wanawatambua nyie ni mke na mume basi ni ndoa tayari.
Jirani anapogeuka msajili wa ndoa mfungisha ndoa watu.Kazi mojawapo ya jirani ni kufungisha ndoa watu aisee.Masaki watu wanaishi maisha self contained.Huyo jirani wa kutokea kusema hawa ni mume na mke najaribu kuwaza
 
Usipotoshe kiongozi kesi kama hizi zinathibitishwa in a balance of probabilities...51/49....kwa kesi yetu hapo juu watu wameishi pamoja na wamezaa...uwepo wa watoto tu tunaita issues ni uthibitisho tosha kwamba walikuwa wana cohabit....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…