Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
Teh teh he he he,! Hao wazazi nao si wangehamia chini!
...............................Peter na mdogo wake John walikuwa wanalala kitanda kimoja cha spring na wazazi wao.wakati wa usiku wazazi wao walikuwa wanavizia peter na john wamelala na kuanza kufanya mapenzi.kutokana na kitanda kunesanesa wanapofanya mapenzi peter na john wakawa wanajikuta wanaanguka.peter na john baada ya kufanya uchunguzi wakagundua kuwa wanaanguka kutokana na kitanda kunesanesa wakati wazazi wao wanapofanya mapenzi.siku moja usiku peter alishtuka kutoka usingizini na kuwaona wazaz wao wakijiaandaa kufanya mapenzi.............. ndipo peter alipomwamsha john na kumwambia "jishikilie vizuri wameanza tena"
unapoandika wakati mwingine jaribu kutumia akili vinginevyo kaa kimya this is home of great thinkers you are not among them
unapoandika wakati mwingine jaribu kutumia akili vinginevyo kaa kimya this is home of great thinkers you are not among them
unapoandika wakati mwingine jaribu kutumia akili vinginevyo kaa kimya this is home of great thinkers you are not among them
kaguswa mtu hapaa!! Kwiiikwiii ko ko ku kuu!!
Deja vu!...............................Peter na mdogo wake John walikuwa wanalala kitanda kimoja cha spring na wazazi wao.wakati wa usiku wazazi wao walikuwa wanavizia peter na john wamelala na kuanza kufanya mapenzi.kutokana na kitanda kunesanesa wanapofanya mapenzi peter na john wakawa wanajikuta wanaanguka.peter na john baada ya kufanya uchunguzi wakagundua kuwa wanaanguka kutokana na kitanda kunesanesa wakati wazazi wao wanapofanya mapenzi.siku moja usiku peter alishtuka kutoka usingizini na kuwaona wazaz wao wakijiaandaa kufanya mapenzi.............. ndipo peter alipomwamsha john na kumwambia "jishikilie vizuri wameanza tena"