Poleni na uchovu wakuu,
Ijulikane kua nyumba nlopanga haina dari na mie ni bachelor
Basi jana nimewahi zangu kurudi ghetto ili niwai kulala nisisikie mishindo yao (coz automatic huwa inanipa mzuka) kumbe na wao walibadirisha ratiba saa nne wakaanza vurugu zao mi nkaona isiwe kesi nkatoka zangu kwenda ata nikajipooze na light ili nisije nkaishia punyeto bure
Kawaida huwa wanaanza saa tano hivi game ya nusu saa hivi koo saa sita hali ya hewa inakua imetulia, ndio maana mi mara nyingi huwa najirudia ghetto saa sita mpaka saa sita na nusu
Asa saizi nnavoandika hapa watu wako uwanjani afu huyu mwanamke ana sifa sana analia kama paka aani na anajua mi ni bachelor, ila fresh tu
Afu kukishakucha asubuhi ikitokea tumegongana macho, ananikazia macho afu anatabasamu hivi ila poa tu
Hivi nyie wanawake hamuezi kudoo bila ku moan?
Najiona kabisa hapa sina ujanja final ntaishia punyeto tu, najua kuna watao nishauri nivae earphones ili nisisikie miguno ila niwaambie tu nishajaribu hivo mara kibao mwisho wa picha najikuta Mimi mwenyewe automatic bila kushinikizwa na mtu nazitoa, usiniulize kwanini coz ata Mimi mwenyewe sijui huwa nazitoaje
Niwatakie asubuhi njema yenye baraka, wale mtaoenda kanisani mkatuombee jamani