Yeah,
But not when you are giving your definitive positon on faith.
Kila kitu. La sivyo nitajie mahali ambapo imani ya weza kuwa "hakika" na kwingine ambapo imani yawezakuwa "kutokuwa na hakika"
Nimeona mamy.....
asante kwa kuona mamito
Hakuna kitu cha mahali pote
Hujui kuna imani ya kidini na imani ya maisha ya kawaida na hazima maana sawa?
Can you please tell the difference?
Maana ya imani ya kwenye maisha ya kawaida ni kutokuwa na hakika,maana ambayo inapatikana kwenye kamusi
Maana ya imani ya kwenye dini [Ukristo] ni kuwa na hakika ambayo inapatikana kwenye Biblia!
Maana ya imani ya kwenye maisha ya kawaida ni kutokuwa na hakika,maana ambayo inapatikana kwenye kamusi
Maana ya imani ya kwenye dini [Ukristo] ni kuwa na hakika ambayo inapatikana kwenye Biblia!
Angalau umeonesha namna unavyofikiri.
Kumbe dini nitofauti na maisha ya kawaida?
Mambo ya elimu dunia na elimu ahera siyo?
Basi sawa.
Unanikumbusha maneno ya ndugu zetu wanasiasa wanaotuita sisi "wananchi wa kawaida" kwakuwa wao ni exceptional.
Kumbe nyote njia moja, eti Manka Mushi? usishtuke nimekisia tu..Pesa halali lakini sio za wizi wala kuchuna buzi
Ndio mkuu, inasikitisha sana, nadhani maisha ya ujamaa yanatoweka kwa kasi lazima tubadili uelekeo sasa.