wambura na uongozi wa soka

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
waungwana nisaidieni kujua nini hasa tatizo la wambura kuenguliwa katika kila kinyanganyiro cha uongozi wa soka hapa bongo iwe ngazi ya kilabu au ya taifa, maana nimesikia anakwenda mahakamani kudai haki yake inayo wekewa mizengwe kila mara ambapo hiyo inaweza kusababisha tanzania kufungiwa na fifa kwa kupeleka maswala ya soka mahakamani, pia inaathari kwa simba kwani waarabu kiidaka hii issue maramoja na complain fifa
 
wambura na viongozii wenginee wa soka Tz ni waganga njaa...tuuuuuuu.
 
Wambura hataki kukubaliana na hali halisi, angetafuta njia nyingine ya kutoka kwani katika michezo tayari mambo yamekaa kushoto kwake, labda ajaribu tena katika ubunge.
 
Back
Top Bottom