Yeah alikuwa Jambo na Dogo mmoja hivi ana sauti kama ya Mchomvu.Amerudi tena RFA mwezi ulioisha September,,,Alikuwa Jambo FM Shinyanga
Mwanzoni alikuwa akianza anawachana wanawake wanaotoa mimba na bodaboda vishandu ,awamu hii ameongezea na "wasiolinda migongo".Mzee wa jiwe la gizani amerudi Rfa
Yeah waliondoka Wa4,,Bizzo Renatus Kiluvia ambae kwasasa ndo mkuu wa vipindi jambo FM, Mwana Unique, Mbudu the boss na Wambura sasa,,Mbudu kaacha kazi jambo, Wambura karudi RFA half Bizzo na Mwanaunique ndo bado wapo jamboYeah alikuwa Jambo na Dogo mmoja hivi ana sauti kama ya Mchomvu.
RFA wamelamba Dume kumrudisha Wambura Mtani ,nilikuwa nishaacha kusikiliza Je Huu ni Uungwana la hasha ila kwasasa never Miss.
Hakuna Kulala - Good Morning Africa - Matukio - Ushauri wako -Guinness Records - Je huu ni Uungwana - Sitosahau.
Noma sanaMwanzoni alikuwa akianza anawachana wanawake wanaotoa mimba na bodaboda vishandu ,awamu hii ameongezea na "wasiolinda migongo".
Daaah kweli wewe unawajua vizuri.Yeah waliondoka Wa4,,Bizzo Renatus Kiluvia ambae kwasasa ndo mkuu wa vipindi jambo FM, Mwana Unique, Mbudu the boss na Wambura sasa,,Mbudu kaacha kazi jambo, Wambura karudi RFA half Bizzo na Mwanaunique ndo bado wapo jambo